CDM,Wanaharakati, wanavyuo tuacheni CCM tujadili mgombea wetu 2015 tafadhali

tutoe hoja ya msingi kama si Lowassa ni nani? Mimi namuunga mkono Lowassa 100 percent coz nimeona juhudi zake ktk utendaji wake mfano mzuri ni hatua monduli inayopiga ktk maendeleo sawa ana mapungufu yake ila yanavumilika mbona tumemvumilia na tunaendelea kumvumilia JK
 
Lowasa anatumia nguvu kubwa kujisafisha tatizo anatumia maji taka kujisafisa badala ya manukato ,kwa mtindo huu anazidi kunuka na kuchafuka watu wanajitenga naye asiwapitia kwa karibu akawagusa nao wakachafuka ndio maana amejikunyata na wachafu wenzake akina rostam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom