Cdm walilamba garasha kumpekea shibuda kwenye chama

Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,767
4,034
Kutokana na hali halisi ilivyo kati ya CDM na Shibuda, nahisi shibuda alikuwa garasha na hakumaanisha kutoka ccm, bali analikuwa na agenda ya siri kukiaribu chama.

Kwa kuwa amesha mwaga simu kwa watu wengi, nawashauri viongozi wa CDM wampuuze na wawe makini na maamuzi yeyote wanayotaka kuchukua juu yake.

Wamwache na wasimshirikishe katika shughuli za kichama, na ifikapo 2015, asipewe kugombea tena kwa ticket ya CDMa
 
Anaharibu chama anaharibu chama, ameaharibu chama kivipi?

Hivi u mgeni katka nchi hii ata usijue yanayoendelea?

Ngoja niache, kunawatu watakuja kukupa majibu. ila usikasirike.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom