CDM viongozi mjipange kwa kampeni ya nchi nzima

Shubby

Member
Apr 1, 2012
5
3
Baada ya ushindi mzito wa udiwani na arumeru ni ishara nzuri ya chama kukubalika zaidi. Ushauri wangu kwa viongozi ni kuorganize kampeni kubwa kama operation sangara ya nchi nzima hasa wilaya zilizo mali na makao makuu ya mikoa au vijijin kwa jina jingine,pia kuna mikoa ambayo hatukufanya vizuri kama mororogoro,tabora,dodoma,lindi ,mtwara na lindi.nawakirisha wadau
 
Kitu cha msingi kuliko vyote ni kuhamasisha vijana wengi sana wajiandikishe na watunze vitambulisho vyao. Ushindi huu wa Arumeru East umepatika pamoja na kuwa vijana wengi walikuwa wapenzi na hawakuwa na haki ya kupiga kura. Vijana wengi nchi nzima wako tayari ya kwa mabadiliko, ila kosa ni kutojiandikisha.
 
Pia kampeni ya MC4 iendelee kufanyika sambamba na kampeni ya elimu.
Pia ukifaka wakati wa kuandikisha wapiga kura, mtoe elimu na kuwaamasisha vijana wajiandikishe kwa wingi.
 
M4C inaanza na mimi/wewe. Kila mmoja awe ni mhamasishaji kwa mwingine. Tuache dhana ya kwamba kuna watu fulani wenye jukumu hilo, bali tuanze kuhamasishana kila mmoja popote pale alipo, nyumbani, kazini, vijiweni, michezoni. Pamoja tunaweza kuikomboa nchi yetu kutoka mikononi mwa mafisadi wachache, wenye ukwasi uliokufuru. CHADEMA ndio chama chenye dhamira ya kweli ya kuleta mabadiliko ya kimfumo.
 
i support this, zaidi elimu pia iwafikie waliopo hata kijijini kwetu machocho,mugumu ambapo siku zote ndo umekuwa mtaji wa magamba,
 
Back
Top Bottom