CDM tuwe makini! KUPIGWA CUF kwenye MAANDAMANO ni mkakati dhidi yetu

charityboy

Senior Member
Nov 11, 2010
138
4
Ndugu wanaJF, Najaribu kufikiri kitendo cha kupigwa CUF kwenye maandamano yao leo mchana pale buguruni kuwa ni ishara ya mkakati maalum dhidi ya CHADEMA. Hii itakuja kutumika kama sababu ya kuzuiwa maandamano na kupigwa wana chadema.

Nyie mnaonaje?
 
Hao maandamano yao ni mvua za Rasha rasha, Mvua ya mawe nchi nzima itazizima.

Kwa hiyo hilo wala si swala la kujiuliza mara mbili mbili.
:whoo:
 
jamaa wameadhibiwa, huenda huu ukawa ni mkakati maalum. Wameanza na CUF ili ku-justify udhibiti wa wapinzani wote.
 
wewe charity boy acha propaganda zako dr slaa akisema twende tunaenda nimefuatilia saana udaku wako naona unaenelea na ile kazi niliyokushauri uachane nayo, kwanini unaendelea kutumika hivi angalia moral authority yako acha udaku wako, slaa akisema tunaenda ndio watashangaa nguvu ya umma.
 
denyo nakuheshimu lakini unaniboa ndugu yangu. kwani mimi sina haki ya kutoa mawazo yangu? Unataka kila kitu nikubaliane na wewe? Mimi si mtu wa kuburuzwa kaka.
 
hata mimi nimemshauri toka asubuhi akae kimya, Nguvu ya Umma haiwezi kusimamishwa na mabomu.

Mabomu hayawezi kuwa mbadala wa haki yangu.

Kaa chini utulie, kama umetumwa na mafisadi kwetu umenoa.

Tuko makini sana CharityBoy.
 
Ndugu wanaJF, Najaribu kufikiri kitendo cha kupigwa CUF kwenye maandamano yao leo mchana pale buguruni kuwa ni ishara ya mkakati maalum dhidi ya CHADEMA. Hii itakuja kutumika kama sababu ya kuzuiwa maandamano na kupigwa wana chadema.

Nyie mnaonaje?

wewe ...... kila siku nakuuliza habari za Dr. Al Zawahiri haunijibu....... sasa naomba unijibu..... umemaliza kusomea Martyrdom
 
denyo nakuheshimu lakini unaniboa ndugu yangu. kwani mimi sina haki ya kutoa mawazo yangu? Unataka kila kitu nikubaliane na wewe? Mimi si mtu wa kuburuzwa kaka.

Hivi ni laziima uchangie na huwezi hata kuchukua muda wa kusoma thread za wenzako? Na kamhutaji mimi nakushauri acha hasira angalia mmepishana wapi kihoja na sio mnaanza kutishiana kwa vita ya maneno maana humu ni jamvi la home of great thinkers.

Kua ndugu!
 
Nategemea mmoja wetu atujuze kilichojiri huko maana wengi tuko mbali!
 
mtahama nchi hii, CDM hamfai kabisa na nahisi nyinyi si watz
charityboy said:
Katiba mpya ya chadema hatuitaki
Tunataka katiba mpya ya wananchi wote sio maslahi ya CHADEMA. Hii nchi tuna uchungu nayo. Tutapambana mpaka kufa lakini Chadema haishiki madaraka nchi hii. Waende wakachunge ngo'mbe.

charityboy said:
MNYIKA na UMAARUFU wa KULAZIMISHA Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi...

charityboy said:
Re:Katiba mpya ya chadema hatuitaki
wana JF mnatumia maneno MAKALI SANA, mtanikatisha tamaa ku-post hoja nyingine nzito

charityboy said:
wanaJF Tusitumie KAULI KALI katika KUCHANGIA HOJA
WanaJF wenzangu napenda kutoa ushauri kuwa tupunguze MAKALI ya kauli zetu. Kama tutaendelea hivi tutakatishana tamaa na itakuwa ngumu members kutoa HOJA ambazo kwa namna moja au nyingine zina manufaa...

charityboy said:

charityboy said:
CDM tuwe makini! KUPIGWA CUF kwenye MAANDAMANO ni mkakati dhidi yetu
Ndugu wanaJF, Najaribu kufikiri kitendo cha kupigwa CUF kwenye maandamano yao leo mchana pale buguruni kuwa ni ishara ya mkakati maalum dhidi ya CHADEMA. Hii itakuja kutumika kama sababu ya kuzuiwa...

We acha utoto

Post zako tunaziangalia busara yako itumike ukiwa unaandiaka sio kuandika kitoto
 
KingsofKings!

Huyo Charity boy ni mjmbe wa mapepo ya RostArm.

Asikupe shida na njaa zake. CHANANAE!!
 
sio kwamba unaburuzwa bali unafunzwa kiukweli akili yako bado changa,unachelewa kufikiri........ivyo jipange na shirikisha ubongo. naamini utabadilika. Swala sio tukubaliane kwa kila jambo lakini unapotofautiana na majority kwa kila jambo lazima utakuwa unawalakini.
 
We acha utoto

Post zako tunaziangalia busara yako itumike ukiwa unaandiaka sio kuandika kitoto

King of Kings, kuna watu wanakuja humu kwa kazi maalum waliyotumwa na watu maalumu. Na hii ni hatari kwa taifa letu, tunaona watu wanajaribu hata kupenyeza watu wao makanisani.

Kifupi huyu mtu sielewi lengo lake nini na amekuja kufanya nini, halafu anafikiri watu hawana reference ya post zake. Tafadhali busara itangulie ndugu zangu.
 
Ndugu wanaJF, Najaribu kufikiri kitendo cha kupigwa CUF kwenye maandamano yao leo mchana pale buguruni kuwa ni ishara ya mkakati maalum dhidi ya CHADEMA. Hii itakuja kutumika kama sababu ya kuzuiwa maandamano na kupigwa wana chadema.

Nyie mnaonaje?
CHADEMA haiwezi kupigwa na hitapigwa hao CUF ndio tumezoea kusikia wakipigwa tangu miaka hiyooo. Unakumbuka miaka ile pale Jangwani na kwengineko ..mpaka Profesa wa ukweli alipovunjwa mkono na polisi.

Hivyo CHADEMA na polisi ni dam dam na kamwe usijidanganye kama ipo siku watakuja kupigwa..!!!!
 
Dr. Slaa akisema twende sisi tutaenda hata kama ni kumwaga damu. Hatuogopi mtu wala polisi.. mwendo mdundo mpaka kieleweke..

Charity Boy chech ur stand again man..

WE fear no body just God and we are fighting for our nation.
 
wewe charity boy acha propaganda zako dr slaa akisema twende tunaenda nimefuatilia saana udaku wako naona unaenelea na ile kazi niliyokushauri uachane nayo, kwanini unaendelea kutumika hivi angalia moral authority yako acha udaku wako, slaa akisema tunaenda ndio watashangaa nguvu ya umma.

bora wewe umemshtukia huyu pandikizi
 
Back
Top Bottom