CDM tutizame upya viongozi wetu Tabora

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Mungu kajalia uchaguzi umeisha tuna kata sikonge,lakini ukweli wa wazi viongozi wa mkoa wanasinzia mno,mifano2,ni ajabu
 
Bavicha haikuwa na msaada wowote ule kipindi hiki wala hawakuwahi kuonekana,pale sikonge viongozi ufanya kazi kama kuna
 
pesa na wanafanyia pesa ama kuuridhisha uongozi taifa lakini hawana utashi wa nafsi zao,sas basi,mkiwadekeza kwamba bila
 
bila uongozi taifa kuokoa jahazi maeneo haya kwamba mpaka dr. aje,kwamba wao wenyewe wanashndwa siasa za ndani mwao basi
 
msitegemee miujiza iwaokoe,waliokwenda sikonge juzi wananielewa vizuri.. haya ndo yanayotukwamisha CDM.
 
Mimi mwenyewe niko Sikonge mwanzo wa kampeni hadi siku ya kura na hadi leo. Sijasikia cha BAVICHA wala BAWACHA mkoa wala wilaya.
Sasa swali ni, je hawa viongozi wa BAVICHA na BAWACHA mkoa na wilaya wapo au hawapo?
 
Mungu kajalia uchaguzi umeisha tuna kata sikonge,lakini ukweli wa wazi viongozi wa mkoa wanasinzia mno,mifano2,ni ajabu
Mungu kajalia uchaguzi umeisha tuna kata sikonge,lakini ukweli wa wazi viongozi wa mkoa wanasinzia mno,mifano2,ni ajabu Bavicha haikuwa na msaada wowote ule kipindi hiki wala hawakuwahi kuonekana,pale sikonge viongozi ufanya kazi kama kuna
msitegemee miujiza iwaokoe,waliokwenda sikonge juzi wananielewa vizuri.. haya ndo yanayotukwamisha CDM.

Mbona imekaa kimajugu majungu? unaleta uzi unaanza kuchangia mwenyewe... hii ni kali! Pole sana naona ina sifa za kuwa Moved.
 
Mkuu majungu ni sawa na umbea,sasa kama kuna lolote nimesema na si fact tunaomba ukanushe hapa jf hadharani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom