Cdm -saut mwanza kufunika leo ktk kata kasamwa-geita.

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo wakuu ! Kama nilivyo wajullsha muda mfupi uliopita, ziara ya makamanda 30 toka chuo kikuu cha saut-mwanza kuelekea kasamwa,geita ndo imeanza. Sasa hivi ndo wanavuka busisi ferry . Zaidi nitaendelea kuwajuza. VEMA SANA
 
mkuu ni habari njema hiyo plse endela kutujuza basi n ausisahau pich if possible :behindsofa:
 
Back
Top Bottom