Cdm -saut mwanza kufunika leo ktk kata kasamwa-geita.

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo wakuu kama nilivyo wajuza jana kuwa leo makamanda wapatao 50 toka chuo kikuu cha saut mwanza leo watahudhuria na kuhutubia mkutano utakao ongozwa na katibu wilaya geita,ndgu Rogerz ,diwani kata ya kasamwa pamoja na makamanda wengine. Hii ni mikakati yao waliyo jipangia ya kupeleka ujumbe wa ukombozi wa kuipigania Tanzania tuitakayo katka maeneo ya pembezoni. Zaidi tutaendelea kupeana yatakayo kuwa yanajiri. M4C FOREVER, MPAKA KIELEWEKE.
 
Saut naikubal sana, chuo kiko huru, kinampa mwanafunz nafac ya ku-share opinions with the entire society bip up makamanda!
 
Hiki chuo cha kanisa katoliki naona kinataka kuwa kama chama cha siasa.
 
Back
Top Bottom