Cdm ndani ya bagamoyo

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,271
9,900
Leo nilipokuwa natoka zangu shamba nilikuta kunamkutano wa wa CDM unaofanyika shule ya msingi majengo ikabidi niweke pose pale japo kusikiliza moja mbili, Bagamoyo panahitaji nguvu ya ziada pamoja na hali ya hewa iklikuwa pana mvua bado nguvu ya ziada inatakiwa watu si wakuridhisha.

Nimefanya mahijiano na watu kadhaa wanasema tatizo wengi hawkupata taarifa hawakujua wengi ya waliyohudhuria wamekuja baada ya kusikikia mkutano umeanza.

Hatamkutano umechelewa sana kuanza umeanza saa kumi na nusu.

Kijana Husein Katibu na mwenyekiti wajimbo jipangeni vema, kazeni buti kwani kaitka maeneo yanayotakiwa nguvu ya ziada.
 
mikoa ya pwani huwa wanachohitaji maishani ni ubwabwa wa nazi na nyama na uji wa pilipili manga nyingiii na si kingine
 
Back
Top Bottom