Cdm mp,

IsayaMwita

JF-Expert Member
Mar 9, 2008
1,127
140
Wabunge wa chadema, hiki ndicho kipindi cha kususia bunge, madaktari wapo kwenye mgomo, ndg zetu wanaendelea kufa. kwa kukosa matibabu Spika hataki mjadala wa madaktari ujadiliwe...., na kwa kuwa hili la Dr UL nalo ni la kitaifa, hapa sasa wabunge wangu tusimame imara kwa hili ili madaktari wanachokidai wasikilizwe,
 
Back
Top Bottom