CDM moto bati.....

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Jamani eeh CCM kulikoni, nampigia simu tee...ndwa hapokei, nchimbi kazima simu, wassira simu inaniambia error.. mkapa nae kagoma, Naogopa kumpigia lusinde sababu anaweza kunipiga matusi akaniaribia siku...., bora nimpigie bamwanaasha anaweza akapokea akijua ni dili la shule ya mwanaasha......

Kweli CDM ni moto bati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom