CDM kuvuna wanachama wa vyama vingine ni akili au matope?

Chiume

Member
Apr 8, 2012
48
18
Hivi wakati watanzania wanakadiriwa kufikia karibu sasa 45mil. Je bado ni akili kuchukua screpers kutoka CCM na vyama vingine kuja kwenye chama la ukombozi wa nchi au ni bora kuchukua na kuhangaika kupata wanachama wapya wasiokuwa na vyama? hamuoni huu ni mtego wa CCM(Chama la magamba?)))
 
Na wewe ndo upeo wako wa kufikiri ulipoishia!!
 
Hivi wakati watanzania wanakadiriwa kufikia karibu sasa 45mil. Je bado ni akili kuchukua screpers kutoka CCM na vyama vingine kuja kwenye chama la ukombozi wa nchi au ni bora kuchukua na kuhangaika kupata wanachama wapya wasiokuwa na vyama? hamuoni huu ni mtego wa CCM(Chama la magamba?)))
Kifupi hujui maana ya siasa.
 
ndo hiki ulichokuwa unakifikiria kwa mda wa wiki 3 uje kupost humu jf?.kweli wewe ni matope
 
wote n wanachama na wananchi wa Tanzania, ilmradi tu wakiri seara na iman ya chadema
 
Hivi wakati watanzania wanakadiriwa kufikia karibu sasa 45mil. Je bado ni akili kuchukua screpers kutoka CCM na vyama vingine kuja kwenye chama la ukombozi wa nchi au ni bora kuchukua na kuhangaika kupata wanachama wapya wasiokuwa na vyama? hamuoni huu ni mtego wa CCM(Chama la magamba?)))

Sidhani kama kuna mtego wa kuwatega na wanachama 200 labda ungeniambia kwa hao wenye nyadhifa wanaohama kidogo ningeamini ni mtego
 
Kwanini mikono yako inapochafuka hauikati bali unasafisha na kuendelea kubaki nayo?
 
Nyerere alisema ccm itauliwa na wana-ccm so ndio tunataka kuiua sisiemu kwa kuwatumia hao hao!
 
Hivi wakati watanzania wanakadiriwa kufikia karibu sasa 45mil. Je bado ni akili kuchukua screpers kutoka CCM na vyama vingine kuja kwenye chama la ukombozi wa nchi au ni bora kuchukua na kuhangaika kupata wanachama wapya wasiokuwa na vyama? hamuoni huu ni mtego wa CCM(Chama la magamba?)))

Hapana, ila ni matope kudhani kuwa kila mtu aliewahi kujiunga na ccm hana haki ya kubadilisha mawazo na kujiunga na chama kingine (na si CDM tu hata TLP, CUF, PONA - kama bado kipo - n.k)
 
Hivi wakati watanzania wanakadiriwa kufikia karibu sasa 45mil. Je bado ni akili kuchukua screpers kutoka CCM na vyama vingine kuja kwenye chama la ukombozi wa nchi au ni bora kuchukua na kuhangaika kupata wanachama wapya wasiokuwa na vyama? hamuoni huu ni mtego wa CCM(Chama la magamba?)))

Nna mashaka na kiwango chakao elimu na maiaka yako pia kwa hili umepayuka jipange kwnza jomba that iz great thinker were they meet and havinng som isue and hot isue complicated one Jipange tena
 
Na ccm walipokuwa wakivuna wanachama wa upinzani halafu wanafanya sherehe ilikuwa matope?
 
Huyu jamaa ataogopa kuanzisha topic tena siku ingine, mwacheni apumue, mpe sifa kidogo.
Ndo mana nimem-like.
 
Nafikiri wamejipeleka wenyewe baada ya kuvutiwa na sera na msimamo wa Cdm. Sidhani kama CDM ndio wamewatafuta. kinachotakiwa cdm wawe makini kudhibiti maadili ya viongozi na wanachama kwa ujumla. Pia sidhani kama watawapa uongozi harakaharaka bila kuwafanyia upekuzi.
 
acha wakimbilie cdm, hawajuwi cdm ni sawa na Pikipiki za SALG Ikindondoka habaki mtu
 
Mbona unatetemeka?
Better start looking for an asylum for your master to hide his filthy stinking black *ss.
 
Back
Top Bottom