CDM imenipa ubunge A.Mashariki-Makongoro Nyerere

Haya huu ni upande wa pili kinyume na ze Baharia alivyotufahamisha.

Kama alitoa mlungula kwa wabunge wa upinzani, specifically CDM, basi ni sababu tosha kwa nini hawakumpa kura.

Otherwise kila la heri Makongoro

Mkuu hapa unamzungumzia Ze Kitingatinga, au sijaelewa vizuri:target:.. teh teh teh:smile:
 
Bora Makongoro kasema kweli....but this is my angalizo to you, why dont you join the MOVEMENT? kwa kusoma alama za nyakati coz CDM's MOVEMENT 4 CHANGE IS TO EMANCIPATE THE SO CALLED "NDG WANANCHI" TO "NDG WENYENCHI"?
 
Huyu jamaa nimsemkubali na hababaishwi na chama chake so kipitup au kama vipi tunakukaribisha CDM
Kama unakumbuka mwanzo wa lile neno kujivua gamba, basi hyu jamaa (Makongoro) aliwaambia live kabisa wale jamaa, yupo ccm lakini ni moja ya watu wachache huko, jamaa aliwaambia wewe, na yule ndo mnatuharibia chama, si muondoke, nazani ndo yeye alionyesha msimamo mkali ktk wenyeviti wa mkoa, anafaa pamoja na yake mapungufu.
 
Bora Makongoro kasema kweli....but this is my angalizo to you, why dont you join the MOVEMENT? kwa kusoma alama za nyakati coz CDM's MOVEMENT 4 CHANGE IS TO EMANCIPATE THE SO CALLED "NDG WANANCHI" TO "NDG WENYENCHI"?
 
Lakini si wanaongoza kwa kulipa kodi kwanini asiwaunge mkono...hahahaha

mbona kaeleweka vizuri tu,kama humjui mako hapo kwenye remark alikua anamaa nisha he use too much beer,pombe,gongo,hachagui kilevi bora awe tilalila,hatuko kwenye mtihani hapa unapewa hints kama huja catch watu wanasonga mbele.though mako ni kichwa sana basi iko siku ataungana na mdogo wake vicent
 
Kama angekuwa mtu aliyetulia siku 1 angeingia pale alipokulia! Lakini sasa ndo hivyo tena maji kwa wingi. Sijui kwa nini inakuwa ngumu kutazamia kwa wengine akina BUSH JR, IAN KAMA N.K!

Kuna mtu wa ndani ya CCM aliwahi kuniambia kwamba huenda huyu ndiye atasimama kwa ticket ya CCM 2015. Maana wengine hawakubaliki site.
 
Pamoja na upungufu au kasoro za Makongoro, still he's better lot than most ccm MPs in the House. Lakini pia tunatumai atafika mahali atapambanua mambo kwa usahihi na kung'oka ccm.

Kama tujuavyo yeye kuwa ccm imeoza na inakufa rasmi lakini ni nani wa kumshawishi Makongoro kama sio Makongoro mwenyewe juu ya ukweli huo?

Na kama haitoshi Makongoro anajua vema kuwa CHADEMA inasimamia na kutekeleza mambo ambayo baba yake mwenyewe would have been greatly proud of. Hivyo ni suala la muda tu ajiridhishe 100% kisha avue gamba.
Baba yake aliishasema hadharani kuwa sera za CHADEMA anazikubali. Sasa kurudi CCM alimuenzi vipi baba yake? Labda ilikuwa njaa. Lakini mdogo wake Madaraka mbona ana-survive bila kuhangaika na magamba?
 
NCCR walikuwa na vichwa vya ukweli, sema mzee wa Kiraracha hakujua namna ya ku-manage

sio hakujua ku manage alifanya kazi aliyotumwa ya kuvuruga upinzani sasa amepewa tena jimbo la vunjo ikiwa ni pension kwa kazi nzuri ya kuchelewesha ukombozi!!!
 
Jamaa ni Classmate na ana tabia za kuchukia dhambi kama baba yake.So he his generally a good man!Bravo Charles Mack Nrre!
 
Huyu jamaa hata ukimchanja damu yake ni Oposition pure! Sijui ni nini kilimpeleka CCM?

Kuna Msemo unasema "adui yako mwombee njaa" Huyu bwana baada ya kunyanganywa ubunge wa arusha mjini kama Lema alijikuta katikati hana la kufanya wala pa kwenda akawa hoehae njaa kibao ndo CCM wakamtega ni kipande cha nyama akanasa ila alifuata kuganga njaa na si kwamba aliipenda CCM.
 
Back
Top Bottom