CDM imenipa ubunge A.Mashariki-Makongoro Nyerere

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mbunge mteule wa A.Mashariki Makongoro Nyerere amesema kura za wabunge wa CDM ndizo zilimfanya kushinda ubunge huo.Makongoro amesema wagombea wenzake kupitia CCM walitishia ushindi wake kutokana na jinsi walivyokuwa wanatembeza rushwa.
Makongoro amesema alikuwa hana hata nauli ya kwenda Dodoma lakini alimtegemea Mungu.Amesema CDM walipotaka kususia uchaguzi ule aliamini mwisho wake ulikuwa umefika kwani kura zote za wabunge wa CDM zilikwenda kwake.Amesema ni ngumu sana kugombea nafasi yoyote kupitia CCM kama huna hela za kugawa.Makongoro ameendelea kusema kwamba chuki ya rushwa waliyo nayo wabunge wa CDM ndiyo iliyomuokoa kwani anaamini ni vigumu wabunge wa CDM kuchagua mtoa rushwa.Amemalizia kwa kusema shukrani yake kwa CDM ni kwa yeye kuwatumikia wananchi wote bila ubaguzi wowote.

SOURCE:TANZANIA DAIMA
 
I always like this man, except for one thing that he used to use too much. But he is good. Look at his remarks.
 
Kama amegundua CDM ndio kundi lisilopokea rushwa (kundi sai) na ccm ni wapokea rushwa tunamkaribisha CDM.
huko aliko nae ataoza. Mwizi anatembea na mwizi mwenzakes
 
Haya huu ni upande wa pili kinyume na ze Baharia alivyotufahamisha.

Kama alitoa mlungula kwa wabunge wa upinzani, specifically CDM, basi ni sababu tosha kwa nini hawakumpa kura.

Otherwise kila la heri Makongoro
 
Dunia ya sasa hatumhitaji mbunge aina ya makongoro. Ulevi unamharibu sana. Aliposhindwa kesi ya uchaguzi ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya upinzani, alitangaza kurudi ccm eti "kumuenzi baba wa taifa!". Licha ya kufahamu ubovu wa ccm na viongozi wake, aliona ni muhimu kurudi huko in the name of baba wa taifa na kuziacha harakati za ukombozi zikididimizwa na ccm! Alivuruga kabisa mwelekeo wa upinzani Arusha hadi alipokuja Lema. Tulimchagua kwakuwa tulitaka mabadiliko licha ya kutokuwa na sifa makini. Na kwa kutokuwa kwake makini akatugeuka! He is a dangerous person asiyekuwa na msimamo kwenye mambo anayoyaamini! Kifupi ni kwamba tumepoteza nafasi kwa kumchagua yeye!
 
Nape njo utoe neno hapa. Na huyu makongoro nae ni gamba au?
 
Tuwe wakweli mkuu.Katika wale wagombea wote wa ccm si afsdhali yeye? Pili nasikia alikataa katakata mpango wa kumpeleka Arumeru wakati wa kampeni ili apambane na mdogo wake Vicent Nyerere.
 
Amewavua nguo waliokuwa wanasema wabunge wa CDM walipokea rushwa

Aaah!!! Lile kubwa jinga lizururaji la nchi za watu litajua wapi,limekalia majungu tu acha werevu waendelee kujionea wenyewe.
Chadema for life.
 
Huyu jamaa hata ukimchanja damu yake ni Oposition pure! Sijui ni nini kilimpeleka CCM?

Nikikumbuka hotuba zake za mwaka 1995 hapa Arusha siamini kama leo yuko CCM lakini kuna kitu kilicho fanyika baada ya Dingi yake kudanja....
 
Back
Top Bottom