CDM fanyeni hili ili wananchi tuwaelewe ! kwani kuwa na nywele hakumaanishi una uwezo wa kufikiri

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Katika kipindi hiki kifupi CDM wametoa shutuma / malalamiko yafuatayo:
  • Hujuma za kutaka kuuliwa viongozi wake
  • Tuhuma za kutumiwa simu za wabunge wa CDM kutuma sms za vitisho kwa Mh. Mwigulu Nchemba (aka. Kiboko ya CDM warukao na watambaao ardhini na angani)
Na kwa hizi shutuma zote, viongozi wa CDM wamedai kuwa wana ushahidi na wasemayo. Kwa minajili hiyo basi, ili kutusaidia sie wananchi , kuwataja tu watuhumiwa hakutoshi bali kama mna ushahidi fursa iko wazi kuwapeleka mahakamani, sasa kwa nini msilifanye hilo ? ni kipi mnacho kiogopa kupeleka masuala haya mahakamani? . Sifa mojawapo ya mtu mzalendo ni kuhakikisha suala ambalo analijua basi haki ichukue mkondo wake, sio lazima CDM msubiri mpaka nyie mshtakiwe wakati mna fursa ya nyie pia kuwashitaki watu hao. Fanyeni hili na wananchi tuwaamini, kutaja tu haitoshi kwani hata mie naweza kuwataja watu.
 
Gamba wee, acha kutoka povu nenda kawashauri magamba wenzako namna ya kuhujumu rasilimail zetu, mnashindwa kujibu hoja za msingi maanza kutukana
 
Tukicheka, tukinuna, mafisadi pressure inapanda inashukaaaa, kaa pembeni ukweli unajulikana , we mwenyewe unajua , unajipa presha kupretend ujui , marando alishafafanua, slaa alisha sema ukweli, mnyika alisha weka ukweli hadharani, so acha kuweweseka
 
Ukweli bila yakufanya vitendo unasaidia nini ? na anae weza kuweka ukweli ni mahakama, sasa shida iko wapi ? ndio maana nikasema hata mie naweza km hoja nikutaja tu huyu amefanya hiki , na huyu amefanya hiki

​kalale kwanza inaonekana una usingizi mzito
Katika kipindi hiki kifupi CDM wametoa shutuma / malalamiko yafuatayo:
  • Hujuma za kutaka kuuliwa viongozi wake
  • Tuhuma za kutumiwa simu za wabunge wa CDM kutuma sms za vitisho kwa Mh. Mwigulu Nchemba (aka. Kiboko ya CDM warukao na watambaao ardhini na angani)
Na kwa hizi shutuma zote, viongozi wa CDM wamedai kuwa wana ushahidi na wasemayo. Kwa minajili hiyo basi, ili kutusaidia sie wananchi , kuwataja tu watuhumiwa hakutoshi bali kama mna ushahidi fursa iko wazi kuwapeleka mahakamani, sasa kwa nini msilifanye hilo ? ni kipi mnacho kiogopa kupeleka masuala haya mahakamani? . Sifa mojawapo ya mtu mzalendo ni kuhakikisha suala ambalo analijua basi haki ichukue mkondo wake, sio lazima CDM msubiri mpaka nyie mshtakiwe wakati mna fursa ya nyie pia kuwashitaki watu hao. Fanyeni hili na wananchi tuwaamini, kutaja tu haitoshi kwani hata mie naweza kuwataja watu.
 
Ukweli bila yakufanya vitendo unasaidia nini ? na anae weza kuweka ukweli ni mahakama, sasa shida iko wapi ? ndio maana nikasema hata mie naweza km hoja nikutaja tu huyu amefanya hiki , na huyu amefanya hiki

Wewe Njegele kweli, mmeshajipanga na mahakama zenu eeh!, we know how tó play the game,mtatusubiri sana huko hatuji, tunawajua MAHAKIMU wa haki,tumeshawashtakia na HUKUMU wanayo tayari,endeleeni na sarakasi zenu na mataulo yenu viunoni,2015 mtajua!
 
Katika kipindi hiki kifupi CDM wametoa shutuma / malalamiko yafuatayo:
  • Hujuma za kutaka kuuliwa viongozi wake
  • Tuhuma za kutumiwa simu za wabunge wa CDM kutuma sms za vitisho kwa Mh. Mwigulu Nchemba (aka. Kiboko ya CDM warukao na watambaao ardhini na angani)
Na kwa hizi shutuma zote, viongozi wa CDM wamedai kuwa wana ushahidi na wasemayo. Kwa minajili hiyo basi, ili kutusaidia sie wananchi , kuwataja tu watuhumiwa hakutoshi bali kama mna ushahidi fursa iko wazi kuwapeleka mahakamani, sasa kwa nini msilifanye hilo ? ni kipi mnacho kiogopa kupeleka masuala haya mahakamani? . Sifa mojawapo ya mtu mzalendo ni kuhakikisha suala ambalo analijua basi haki ichukue mkondo wake, sio lazima CDM msubiri mpaka nyie mshtakiwe wakati mna fursa ya nyie pia kuwashitaki watu hao. Fanyeni hili na wananchi tuwaamini, kutaja tu haitoshi kwani hata mie naweza kuwataja watu.

Hapa kwenye uwekundu ni mahakama gani za kushtaki? Hizi mahakama za akina Werema?
 
Wamesema wazi kwamba hawana sababu yeyote ya kuwataja.Message sent kwamba waliofanya hivyo ni viongozi wa juu wa Chama cha Magamba.Na kwa vile wananchi tunakijua Chama cha Magamba vizuri,tunajua hakuna shaka yeyote ni kweli.Wakiwataja moja kwa moja si mtawapeleka Mabwe Pande.We don't need the names.
 
Back
Top Bottom