CDA imeshindwa kazi ya kuifanya Dodoma makao makuu ya Tanzania

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Sababu ya msingi ya kuanzishwa kwa CDA ikianzishwa miaka 39 iliyopita kwa lengo la kusimamia upangaji wa mji wa dodoma ili kuwa makao makuu ya nchi kitu ambacho kimeshindikana sasa kuna aja ya kuendelea kuwepo?
 
Sababu
ya msingi ya kuanzishwa kwa CDA ikianzishwa miaka 39 iliyopita kwa
lengo la kusimamia upangaji wa mji wa dodoma ili kuwa makao makuu ya
nchi kitu ambacho kimeshindikana sasa kuna aja ya kuendelea
kuwepo?

tatizo wakubwa hawataki kukubali kuwa wamekosea
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom