CD za uzinduzi wa kampeni za CHADEMA A-MASH.

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
Tunaomba kujua wapi na jinsi gani ya kupata CD za uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Arumeru Mashariki. Mimi niko Mwanza, ila ni vizuri kwa yeyote anayetoka sehemu yoyote Tanzania kuelekeza kwa wadau jinsi ya kuzipata. Ni muhimu sana makamanda!
Nawasilisha....!!!!
 
umesema kweli ntawcliana na ndugu zangu kule!
 
Back
Top Bottom