CD,DVD, MP3 or TAPE RECORDS. Patamu hapo.

Zabron Erasto

Member
May 29, 2011
47
3
Wapenzi wa Oldz mtakubaliana na mimi kuwa ubunifu na ushindani wa wasanii wa enzi hizo ulikuwa ni mkubwa sana. kumbuka ushindani wa Nguza Vicking(Maquiz) na Ndala Kasheba(Oss). watu waliburudika. Pambamoto chini ya Chiriku Manet. Tuncut Almas. Msondo. Sambulumaa band watu walisuuzika vilivyo. Je leo nyimbo hizi tuzipendazo kama Urafiki wa uongo, Maria, Clara n.k tuzipate wapi CD ama record zake zi wapi ? maana redio nyingi hazipigwi. Ni wapi pa kuzipata nyimbo hizi ili bongo zetu zisuuzike vilizo.
 
Kama upo serious nenda tbc taifa wana maktaba yao watakuuzia.Waikumbuka ashibai ya msondo? Kimanzichana je? Penzi haligawanyiki,mwanameka,sadiki,rangi ya chungwa,sisili n.k we acha tu!! Zamani kulikuwa na music wa ukweli au wasemaje ndugu?
 
Tata umegusa penyewe nazidi kupata hamu ya nyimbo hizo ooh! TBC nitatia timu ili nimiliki hazina hiyo.
 
Back
Top Bottom