CCTV camera and Satellite dish Installation Training course starts on saturday,don't plan to miss.

bongo kila kitu deal hadi mnaboa siku 8 100000? acheni tamaa bora hata ungewafanyia 20000 ya maji acheni janja janjaa
 
Ahsante sana Twaleeb. Tumepata mwanga na uelewa wa kufunga Madish na kuset channels bila kulipia chochote. Ni watu wachache sana wenye moyo wa kujitolea kama wewe. Hongera sana na tunamwomba Mwenyezi MUNGU akuzidishie ujuzi upate kuwa Mahiri zaidi katika fani hii.
Amiin
Ameen
 
Hivi you tube ni kwa ajili ya nini mpaka nije nilipie 200000 kwa mwezi?
 
Leo Mm naanza darasa mida ya saa nne asubuhi anaehitaji afike kigamboni kisha achukue daladala zakwenda kibada ashuke ungindoni aulize dar live ya zamani akifika hapo nipigie simu ntakuja kukufwata ama utanipigia cmu 0622001223
NB kwangu utasoma bila kulipia natoa elimu bure
Wewe ni KINABO.

Kwa nini usianzishe uzi wako? Kila mwenye akili timamu anapaswa kukupuuza. Mimi nitakuja huko kigamboni, lkn nitakuja kukuchapa makofi
 
karibu sana kigamboni unakuja lini ila nashukuru kwa matuc yko mungu akuzidishie matuc
Acha mambo ya kiswahili mzee. Mwenzio ameanzisha uzi wake, anaeleza biashara yake. Wewe unakuja na mambo yako ya bure sijui kitu gani...sio uchawi huo?
 
ss ww kilichokufanya mpk unitukane ni kipi nakusubiri uje unipige makofi na ucpokuja ww utakua dem
Acha mambo ya kiswahili mzee. Mwenzio ameanzisha uzi wake, anaeleza biashara yake. Wewe unakuja na mambo yako ya bure sijui kitu gani...sio uchawi huo?
 
Tunashukuru mungu tumemaliza salama coz ya siku 8 yenye kulipishwa laki moja waliokuja wameipata kwa bure na wameisoma kwa siku moja
Je ndugu Twaleeb, mafunzo hayo utayatoa tena, mimi pia ni muhitaji.
 
Back
Top Bottom