Ccm

As a Great thinker provide strong evidence to support your inductive argument otherwise, delete this!!!!

Always do not forget that thhe perfected nature of a rational being is precisely the perfection of reason, and the perfection of reason is virtue.

Give us reasons here tutaendelea kuchangia zaidi
 
Nkasoukumu. Thats true it z no longer political party ni pagari la wanyan'ganyi, huyu NewDawnTz ni Ridhiwani nini??? mbona pua zimemtanuka gafla kuona chama cha babaye kikijadiliwa???
 
Sorry ila nimeskia kwamba hicho kitu kinachoitwa ccm kumbe ni sumu ya panya ila watu wanaitumia kaama kitega uchumi!!!
 
NewDawnTz; Any rational being can understand himself from the beginning, what I think any one who is supporting ccm is like he or she don't understand him self.So what I believe the truth of the ccm will only be revealed by the reasoning and through reasoning man can understand what to do upon ccm.Amen.
 
I suppose that,to a man of reasonable capabilities to understand and analyze situations like you,the feed was aimed to spark your mind,by provoking thought to understand and if not,seek to understand what the scope and extent which ccm has demonstrated itself as operating as a mode of production for a minority of the population and which like others who dearly live of the majority will go on to defend it and willfully allowing their minds to wonder what shortcomings others see out the parasitic institution and its mechanism. I'll therefore argue you to think and at your age,i advise you to be less expectant on spoon feeds.grow up brother,think and act beyond the need of your tummy and those of you kinsmen.
 
Ccm is no longer a political party but a mode of production
When you go beyond normal thinking this kind of conclution (Ccm is no longer a political party but a mode of production), which are not sipported any premises cannot be cosidered any more. To arrive at that conclution one has make a convincing premises and not concluding on air!, since this is not a complete syllogism as a Beyond Thinker I cannot say anything till the syllogism is complete.
 
I think hapa unaaminisha kina members ambao ni ma Business Tycoons.........wana pesa ambazo hata ukijumlisha kipato cha the rest of wananchi hatuwafikii.......Kila kitega uchumi cha maana hapa bongo kina member wa CCM kama mwenye mahisa mengi.....naunga mkono..
 
Ni kweli kabisa. CCM ya sasa si ile ya Nyerere iliyokusudiwa kutetea masikini na wanyonge bali ya matajiri, vibakauchumi (maana wamesema hawataki kuitwa mafisadi kwani kwa kadiri ya kamusi yao fisadi ni anayechukua wake na waume za watu) walaghai, wachakachuaji (kuanzia Rais hadi tarishi hawaaminiki) na wachumia tumbo. Hakuna jema ndani ya CCM na ukiona wanajinyenyekesha kwako ujue unakabidhiwa sumu iliyofungwa kwenye ganda la pipi. Kila cheo, nafasi na madaraka yana bei ndani ya CCM na kulaghai (kuchakachua), kujitajirisha bilakujali njia zinazotumikaziwe halali au haramu ndiyo "fasheni". CCM hawana aibu, soni wala haya ni manyang'au na ma "Mafia" waliobobea na ambao wamepenyeza watu wao kila pembe na katika kila taasisi iwe Mahakama, Tume mbalimbali kama ile ya uchaguzi "inayosifiwa sana kwa kazi nzuri" na Mzee wa kuchakachua (Mzee wa kaya) Jeshi, Polisi, Usalama wa Taifa na hata magereza hakuna wa kuaminika. Kwa kifupi CCM sasa imekuwa kama kansa inayotumia mfumo wa mwili kujinenepesha na kukua. Hebu tazama, wametumia kadi zetu kuturubuni kwa kutufanyia kinachoitwa kampeni, hata wake na watoto zao wametumia kodi zetu kutulaghai tuwape ulaji na ulaji ulipokosekana walitumia mwanya wa katiba mbovu, chakavu iliyooza na yenye utusitusi kuupindua uamuzi wetu tuliowataka wapishe wakiwatumia watu tuliowaajiri na kuwalipa kwa kodi zetu kuwachakachulia ili waupindue uamuzi halali wa umma ambavyo ni sawa na kuihaini nchi.
Hakuna refu lisilo na ncha ipo siku wahaini wote watawajibishwa na nguvu za umma. Mungu ibariki Tanzania.
 
Modes of production zinaeleweka lakini? Ya mwisho hadi sasa ni ubeberu. Ccm iko wapi?
 
Back
Top Bottom