CCM yazidi kuumbuka

Mi sijakuelewa.
Siwezi kuimani barua isiyo na alama yoyote yenye kunisadikisha kuwa hawa wenye barua hii ni CCM. Hata kama hatuipendi, tusiiisingizie. Tutoa data zenye ukweli na uhakika si kama hili. Linaweza likawa la kweli lakini sisi tulio mbali na eneo la tukio tunahitaji ushahidi wa kutosha. Barua uliyoiambatanisha hata mwingimne yeyote anaweza akaiandika

Kama huamini piga number hii 0713 002800 uhakikishe.
 
Mi sijakuelewa.
Siwezi kuimani barua isiyo na alama yoyote yenye kunisadikisha kuwa hawa wenye barua hii ni CCM. Hata kama hatuipendi, tusiiisingizie. Tutoa data zenye ukweli na uhakika si kama hili. Linaweza likawa la kweli lakini sisi tulio mbali na eneo la tukio tunahitaji ushahidi wa kutosha. Barua uliyoiambatanisha hata mwingimne yeyote anaweza akaiandika

Unaweza kujua kama ni kweli kwa kutafuta taarifa za matukio huko Moshi. Jiulize je hayo matukio yanayosemwa ya mgomo yapo? Mabasi yanapopolewa mawe kweli? n,k.
 
Maombi yenu ilikuwa afe lakini kwa rehema za Mwenyenzi Mungu Mwingi wa Rehema bado anaendelea kupumua na taarifa za awali zote amesha toa ukweli wote utawekwa hadharani soon.

kama hiyo, ni kweli, ikithibitika serikali ilimtesa Dr Ulimboka ama Serikali itaanguka kabla ya 2015 ama itaangukia 2015. No way out. Hapa hakuna ushabiki wa kivyama its all truth.
 
Mfano mimi ni juha kweli, niambie uongo ni upi?

Ni ngumu sana kumuelemisha juha, rudi tena kwenye ile barua yasome yaliyomo ndani ya barua utaona fika kuna chizi mmoja kaitengeneza, sijui kama umeshawahi kupitia barua za kiofisi barua ina mapungufu mengi sana si barua ya kichama

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Acha uwongo wewe umeandika kiushabiki na iweje kwenye vyama vyote vya upinzani Chadema tu ndio wamelishikia bango suala la Dr. Ulimboka? Ndio tunaposema sio kama mnashabikia kwa misingi ya ubinadamu ila ni kisiasa zaidi; hapo mlipo mnaomba Dr. Ulimboka afe ili mtimize agenda zenu za kisiasa; nyie ndio mlikuwa wachochezi wa mgomo na nyie ndio mliomtoa Dr. Ulimboka kafara

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mfano mimi ni juha kweli, niambie uongo ni upi?

kawadanganyeni wajinga wenzenu,tangu lini katibu wa wilaya akamuandikia barua mkuu wa mkoa,asimpelekee katibu wake wa mkoa,mmechemsha,kajiandaeni upya.
 
Wakuu nimeshangaa kuona Nakala kwa "USALAMA WA TAIFA-KIKOSI MAALUM KUDHIBITI CHADEMA/WANAHARAKATI"

Ama kweli nimeamini kuwa CDM Inaikosesha CCM Usingizi..Hadi Imeundiwa kikosi maalum cha kuidhibiti!!!! Ila watake wasitake lazima 2015 wang'oke

nawe ni akili mgando,nlidhani umegundua kuwa fojari imekosewa kumbe bado usingizi haujakuishia,be critical mkuu.
 
Ni ngumu sana kumuelemisha juha, rudi tena kwenye ile barua yasome yaliyomo ndani ya barua utaona fika kuna chizi mmoja kaitengeneza, sijui kama umeshawahi kupitia barua za kiofisi barua ina mapungufu mengi sana si barua ya kichama

Chama
Gongo la mboto DSM
Wewe unawaona CCM wana akili wale, CCM ni zaidi ya machizi....wewe chukua akili ya Mwingulu linganisha na Prof maji marefu hakuna tofauti...
 
Mi sijakuelewa.
Siwezi kuimani barua isiyo na alama yoyote yenye kunisadikisha kuwa hawa wenye barua hii ni CCM. Hata kama hatuipendi, tusiiisingizie. Tutoa data zenye ukweli na uhakika si kama hili. Linaweza likawa la kweli lakini sisi tulio mbali na eneo la tukio tunahitaji ushahidi wa kutosha. Barua uliyoiambatanisha hata mwingimne yeyote anaweza akaiandika

Mzee unaonekana imani yako ndogo kabisa. Waache wahusika ndo wakanushe kwamba siyo ya kwao. Usinunue kesi isiyo yako bure baba.
 
Wewe unawaona CCM wana akili wale, CCM ni zaidi ya machizi....wewe chukua akili ya Mwingulu linganisha na Prof maji marefu hakuna tofauti...

Kama hoja machizi mbona hata Chadema yapo; unaye Lema na Dr. Slaa kila siku wanazusha uongo akili zao finyu kabisa

Chama
Gongo la mboto DSM
 
CCM wanalazimisha kuwe na mapinduzi kabla ya 2015. Kikwete mjanja mazee!
 
Back
Top Bottom