CCM yazidi kuumbuka

Kusema kweli sasa jf imepoteza mwelekeo.maana halisi ya gt imepotea .yaliyobaki ni majungu na upotoshaji wasomaji sina budi sasa kuachana nayo:spit::spit:

Kweli hata mm nipo mbioni kwani yaliyompata Simbachawene, licha ya kuwatahadharisha wachangiaji na Mods bado walisisitiza ni kweli kapigwa mapanga
Nachosema ile sio Headed Paper ya CCM hata kwa kui-scan
Ok nakubali km vita ndio hiyo kati ya CCM na CDM hapo Moshi basi hao CCM wasipojibu hii barua ni mahayawani upinzani huwa hauanzishwi namna hiyo.
Kama ni uongo na ni photoshop basi JF tunaelekea katika utoto
 
Chadema sera kubwa yenu iliyobaki ni uwongo, fitina na majungu jaribuni tena

Chama
Gongo la mboto DSM

Umetaja Gongo la Mboto nikakumbuka ndio makao makuu ya kikosi maalum, sikujua kama ndio mission yenu , nilifikiri ni maalum kupambana na majambazi (msangi type, inawa najua na yeye ni mmoja wa wana kikosi), kumbe ni kuua watu,seeee!
 
Hao ndo magamba, kila kukicha fitina. Liwalo na liwe, 2015 mwisho wa yote, magamba ziiiiiiiiiiiiiii!
 
Umetaja Gongo la Mboto nikakumbuka ndio makao makuu ya kikosi maalum, sikujua kama ndio mission yenu , nilifikiri ni maalum kupambana na majambazi (msangi type, inawa najua na yeye ni mmoja wa wana kikosi), kumbe ni kuua watu,seeee!

Juha Kalulu mwingine huyu badala ya kuja hoja umekuja na gunia la pumba!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
chama dhaifu na watu wake dhaifu na mawazo yao dhaifu na mipango yao dhaifu na njia zao ni dhaifu
 
Mi sijakuelewa.
Siwezi kuimani barua isiyo na alama yoyote yenye kunisadikisha kuwa hawa wenye barua hii ni CCM. Hata kama hatuipendi, tusiiisingizie. Tutoa data zenye ukweli na uhakika si kama hili. Linaweza likawa la kweli lakini sisi tulio mbali na eneo la tukio tunahitaji ushahidi wa kutosha. Barua uliyoiambatanisha hata mwingimne yeyote anaweza akaiandika

kwa hyo hapo hujaelewa nin ?? coz sion kisicho eleweka,.............

inaelekea we gamba.............
 
My dear English learner,
Did you ever hear that, some EPA accounts were opened on the 1st of May (public holiday 2005?) and some transactions were done on saturday and Sunday under the same govnt? Any comment my dear friend!

Aweda I like your reply to English Learner. It is simply direct. If only we had simple direct shooters like you are than this country would be on a different path. After all he/she is an English learner,he/she might have some exceptions. But do we really have exceptions on misconceived analysis on a subject matter? I wonder
 
Wakuu nimeshangaa kuona Nakala kwa "USALAMA WA TAIFA-KIKOSI MAALUM KUDHIBITI CHADEMA/WANAHARAKATI"

Ama kweli nimeamini kuwa CDM Inaikosesha CCM Usingizi..Hadi Imeundiwa kikosi maalum cha kuidhibiti!!!! Ila watake wasitake lazima 2015 wang'oke
 
Taaluma ya Intelligence Tanzania imepotoshwa sana. Hivi hawa wanaopewa vitengo vya kudhibiti vyama vya siasa hasa CHADEMA na wanaharakati wanajisikiaje?! Kwa nini tunafika huku? Vyama vyote vya siasa Tanzania vimeanzishwa na Watoto wa Tanzania! Kwa nini CCM wanajitengenezea mazingira ya kuonekana wao ni so special?
We must re-make Tanzania, now!!!
 
Mi sijakuelewa.
Siwezi kuimani barua isiyo na alama yoyote yenye kunisadikisha kuwa hawa wenye barua hii ni CCM. Hata kama hatuipendi, tusiiisingizie. Tutoa data zenye ukweli na uhakika si kama hili. Linaweza likawa la kweli lakini sisi tulio mbali na eneo la tukio tunahitaji ushahidi wa kutosha. Barua uliyoiambatanisha hata mwingimne yeyote anaweza akaiandika
we subiri tu utakuja kuamini
 
chama cha mabwepande kimezidi kuumbuka safari hii ni kwenye mgomo wa wasafirishaji mkoani kilimanjaro. Jisomee mwenyewe
attachment.php
'
ha ha ha ha ha ha..........kazi kwelikweli. Ccm si ndo wanawatuhumu chadema kuwatuma madaktari wagome ili nchi isitawalike?

Kwa barua hii, ni wazi kuwa hata mgomo wa madaktari ni mpango wa ccm ili wapate sababu ya kuwashitaki chadema kwa wananchi. Sasa imekula kwao. Safi sana jamii forum, safi sana wanajamvi
 
kazi tunayo mwaka huu



we hujui? Kazi za usalama wa taifa ni kutumia kila njia kuhakikisha ccm inatawala milele. Huyu utamwona na mwavuli wa ulokole, huyu utamwona mwendesha pikipiki, huyu utamwona anajishughlisha na hili, yaani kila sehemu wamejaa usalama wa ccm, wako kazini, na wanaajiri kila mwaka, wana fungu kabisa toka kwa rais
 
KOMBAJR, hivi doctor Uli anaendeleaje mkuu? Kuna taarifa nimezisikia mtaani kuwa walitapeliana na wale jamaa waliompa kichapo!

Maombi yenu ilikuwa afe lakini kwa rehema za Mwenyenzi Mungu Mwingi wa Rehema bado anaendelea kupumua na taarifa za awali zote amesha toa ukweli wote utawekwa hadharani soon.
 
Back
Top Bottom