CCM yazidi kuumbuka

Watakao shiriki mgomo watalindwa hata kama watasababisha maafa watalindwa dhidi ya mkono wa sheria.kama kuna ukweli ccm imechoka na sasa wanatapatapa.cdm walisema bungeni kuwa itashirikiana na wafanya kazi kudai haki zao wakaambiwa kuwa wako nyuma ya mgomo wa madaktari. wakati cdm walikuwa na maana ya kushirikiana na wafanya kazi kwa kutumia njia za haki.kama cdm walikuwa nyuma ya mgomo basi ccm wako mbele ya mgomo.
 
msiionee siri-kali hii ya sisiemu jamani. nasema hii ni siri-kali siikivuu sana. inawapenda watukutu tuuu. Inawalea mAfiJisadi tuu. They don't mind if yu die today. Kama hawakujali those deaths which were happening the at MOI unadhani watasikia kilio cha mwenda kwa miguu Moshi?
One day, watatolewa jasho tuu. Moshi tutulie tuuuu haya nayo yatapita. Hapa sisiemu inawabeep
 
Mi sijakuelewa.
Siwezi kuimani barua isiyo na alama yoyote yenye kunisadikisha kuwa hawa wenye barua hii ni CCM. Hata kama hatuipendi, tusiiisingizie. Tutoa data zenye ukweli na uhakika si kama hili. Linaweza likawa la kweli lakini sisi tulio mbali na eneo la tukio tunahitaji ushahidi wa kutosha. Barua uliyoiambatanisha hata mwingimne yeyote anaweza akaiandika
Alama ipi Ngalikihinja unayoitaka.
 
Last edited by a moderator:
Chama cha Mabwepande kimezidi kuumbuka safari hii ni kwenye mgomo wa wasafirishaji mkoani Kilimanjaro. Jisomee mwenyewe
attachment.php

Wazazi nashindwa pa kuanzia CCM pale Moshi inao kina PETER KISUMO wanasemje kuhusu hili? maan kama nikweli basi hii ni funga kazi............................. wacha nikapate Serengeti zangu kwa leo imetosha
 
Aisee haya ni mambo ya wana Mabwepande aka CCM magamba ambao mishipa ya aibu ilishakufa ganzi sasa wanamove kama roboti
 
Hii ni zaidi ya kufulia, inaonyesha kwamba utawala wa sheria haupo kabisa. Yaani anawaamrisha watu wafanye fujo halafu anawaahidi kwamba hawatachukuliwa hatua hata kama maafa yatatokea!!!!!!!!!HUYO KATIBU ALIYEANDIKA BARUA HIYO APIMWE AKILI.

I am puzzled indeed
 
Aisee haya ni mambo ya wana Mabwepande aka CCM magamba ambao mishipa ya aibu ilishakufa ganzi sasa wanamove kama roboti


Duuh aisee mie sioni maajabu Hawa wanaanuka kabisa avai wana haha awana mbele wala nyuma kwa sababu wananchi wamewachoka
 
Mi sijakuelewa.
Siwezi kuimani barua isiyo na alama yoyote yenye kunisadikisha kuwa hawa wenye barua hii ni CCM. Hata kama hatuipendi, tusiiisingizie. Tutoa data zenye ukweli na uhakika si kama hili. Linaweza likawa la kweli lakini sisi tulio mbali na eneo la tukio tunahitaji ushahidi wa kutosha. Barua uliyoiambatanisha hata mwingimne yeyote anaweza akaiandika

Mzee unatatizo la macho, huwezi ona, hiyo nembo ya jembe na nyundo huvioni, anwani ya CCM moshi je hata sahihi ya muhusika nayo huioni eeeh! wataka alama gani basi ili usadiki! Hata angekuwa Thomaso kwa alama hizi angeamini tu! Amini na usadiki hawa ni wenyewe!
 
Uko dunia ipi mkuu, CCM ni zaidi ya chama cha majambazi...

Umenena yote. CCM hapa Moshi haiwezi kufanya lolote.

Waliwakejeli watu kwa muda mrefu kuwa CDM ni chama cha kikristo. Watu wakawaadhibu kwa kupewa madiwani wanne tu 2010
 
Kusema kweli sasa jf imepoteza mwelekeo.maana halisi ya gt imepotea .yaliyobaki ni majungu na upotoshaji wasomaji sina budi sasa kuachana nayo:spit::spit:
 
kwa kweli nimeishiwa nguvu na kubaki na imani kubwa kwamba serikali hii ni mbaya na katili ya ajabu na ina pesa za kuchezea. Kuna haja kubwa ya kuiadabisha, na watajitetea nini ikiwa mpaka kuna kitengo cha kuthibiti CHADEMA/WANAHARAKATI cha usalama wa taifa, yaani nazidi kuamini kwamba walimteka ulimboka kwa kutumia kitengo hicho hicho
 
Mwenzako ameweka ushaidi wake kudhibitisha aliyoyasema na wewe proof him wrong kwa kuweka udhibitisho.laasivyo mabwepande.com

KOMBAJR, hivi doctor Uli anaendeleaje mkuu? Kuna taarifa nimezisikia mtaani kuwa walitapeliana na wale jamaa waliompa kichapo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom