CCM yazidi kuumbuka

I'll be the last person to believe that:

  • The silly ccm works on Sunday ( refer to the letter written/sent on 8/07/2012)!
  • The letter reached all concerned the same day!
  • The time of 24hours sufficed preparations for the strike!
  • Money/allowance was to be distributed at a know place!

What I can believe immediately are:
  • ccm to use Green guards
  • ccm to destroy civilian properties
  • ccm to promise defense to all criminals
My dear English learner,
Did you ever hear that, some EPA accounts were opened on the 1st of May (public holiday 2005?) and some transactions were done on saturday and Sunday under the same govnt? Any comment my dear friend!
 
Did you ever hear that, some EPA accounts were opened on the 1st of May (public holiday 2005?) and some transactions were done on saturday and Sunday under the same govnt? Any comment my dear friend!

Mikael P Aweda,
You've nailed it rightly! Uuuuh weee! Nothing more to argue since your have given the fact and not an example. Worse enough from the same party! Now, on this ground I believe ccm did it
 
kazi tunayo mwaka huu

Attachments

  • untitled1.JPG
    untitled1.JPG
    56.3 KB · Views: 3,740
CCM badala ya kuketeleza zile ahadi 67 zilizotolewa na Kikwete wanataka kuleta uvunjifu wa amani, dah hii ni mbaya sana kwa usalama wa taifa letu. siasa huwa hailazimishwi kama wameshindwa wakae pembeni
 
kazi tunayo mwaka huu

Unauliza nini?

Hivi wewe huwajui Usalama Wa Taifa a.k.a UWT?
Ndani ya UWT kuna vikosi maalumu vinaundwa kwa ajili ya kufuatilia na kusambaratisha kitu chochote ambacho kiko kinyume na CCM na Serikali yake. Huo ndiyo mpango.

Yamkini kikosi hiki cha USALAMA WA TAIFA-Kikosi Maalumu Kudhibiti-CHADEMA na WANAHARAKATI ndiyo waliomteka Dr.Ulimboka.

Tumesikia KAULI nyingi sana za viongozi wa Chama(CCM)na Serikali yake wakisema CHADEMa kinaongozwa na WANAHARAKATI si wanasiasa. Kwa hiyo hii barua au waraka wa CCM KUNA UKWELI KABISA KWA ASILIMIA 99.99999999999999999999999 + or- 0.1 per cent!
 
sisiemu kimekuwa kama chama cha majambazi yani wao baada ya kuumiza vichwa watu waendelee nchi iendelee wako busy kuteka kupiga raia kupanga mipango ya kuharibu kuvuruga amani wana nini hawa magamba kama nchi imewashinda si watangaze vita vya wazi na wapinzani. waone support ya uma itakuwaje.
 
Uko dunia ipi mkuu, CCM ni zaidi ya chama cha majambazi...
 
Chama cha Mabwepande kimezidi kuumbuka safari hii ni kwenye mgomo wa wasafirishaji mkoani Kilimanjaro. Jisomee mwenyewe
attachment.php

Mi sijakuelewa.
Siwezi kuimani barua isiyo na alama yoyote yenye kunisadikisha kuwa hawa wenye barua hii ni CCM. Hata kama hatuipendi, tusiiisingizie. Tutoa data zenye ukweli na uhakika si kama hili. Linaweza likawa la kweli lakini sisi tulio mbali na eneo la tukio tunahitaji ushahidi wa kutosha. Barua uliyoiambatanisha hata mwingimne yeyote anaweza akaiandika
 
Inaniuma sana kutumia Kiswahili kwa hawa wauaji, ni heri niwaite TISS kuliko kuwaita 'Usalama wa Taifa' Usalama upi?
 
Mi sijakuelewa.
Siwezi kuimani barua isiyo na alama yoyote yenye kunisadikisha kuwa hawa wenye barua hii ni CCM. Hata kama hatuipendi, tusiiisingizie. Tutoa data zenye ukweli na uhakika si kama hili. Linaweza likawa la kweli lakini sisi tulio mbali na eneo la tukio tunahitaji ushahidi wa kutosha. Barua uliyoiambatanisha hata mwingimne yeyote anaweza akaiandika
Mimi ninalazimika kuamini, vyenginevyo mleta mada atakuwa ametenda kosa la jinai kwa kughushi sahihi ya Katibu Wilaya.
 
Back
Top Bottom