CCM yawawekea dhamana vijana wa Dar waliofanya fujo Singida

MADORO

Senior Member
Nov 12, 2011
198
117
Katibu wa vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Singida, amefanikisha zoezi la kuwawadhamini (vjana wanaosadikiwa kuwa majambazi) waliokodishwa toka Dar kuja Singida kwa ajili ya kufanya fujo katika mikutano ya CHADEMA.

Katibu huyo wa vijana wa CCM Ndugu Omari Mtua ametafuta vijana wengine wa CCM kufanikisha zoezi la kuwadhamini watuhumiwa saba:

Ili kuweka kumbukumbu sawa niwakumbushe kwamba vijana wamejitambulisha katika hati ya Mashtaka kuwa ni Abdala Mbwana Kingwande, (Mndengereko), ana Miaka 36, Mwislamu, Mfanyabiashara na Mkaazi wa Segerea Dar es Salaam.

Wa Pili Ni Nasri Salehe (Mnyamwezi), ana umri 28, Mwislamu, anakaa karikaoo, na ni mfanyabiashara. Wa tatu ni Laizimu Njama, ni MMakua, ana miaka 42, Mwislamu, anatokea Tandika/Temeke Dar es salaam. Wa Nne ni Mohamedi Abdalaa, Mluguru, ana miaka 34, Mwislamu, anakaa Kibamba Dar es Salaam, wa Tano ni Rudoviki Muganyizi, Mhaya, ana miaka 32, Mkristo, Ni Injinia. Wa Sita ni Justini Sangu, Mfipa, ana miaka 40, Mkristo anakaa Dar na ni mfanyabiashara. Wa Saba ni Salumu Ali Rashidi, ni Mmwela, ana miaka 26, Mwislamu, ni Mkaazi wa Tandika Jijijini Dar.

Maswali:CCM wana uhusiano gani na vijana hawa toka Dar waliokuja kufanya fujo Ndago? Mbona walipotoka Gerezani walielekea moja kwa moja ofisi za CCM? Nani ni ndugu yao kwenye ofisi hiyo? Katibu wa CCM wa Iramba alitoa gari kwa manufaa yapi?

Kwanini mpaka sasa Jeshi la Polisi halijamwita Mwigulu Nchemba, mtuhumiwa muhimu anayetajwa kuwa aliratibu zoezi la kukodisha majambazi hayo kuja kufanya fujo?

Kwanini Jeshi la Polisi hadi sasa linaogoma kuwakamata na kuwahoji waliofunguliwa mashtaka siku ile ile mbele ya Mkuu wa Kituo, OCS Longino, badala yake linawasaka wengine na kuwabambikiza kesi? (NDG/RB/190/2012). Hii kesi polisi wamehongwa kiasi gani kiasi kwamba hawawakamati waliofanya fujo?

Mnyika alitoa maelekezo RB Ifunguliwe muda ule ule mkutano ukiwa unaendelea baada ya kufanyiwa fujo Mengine
 
Tafadhali Modi Hii thread iweke iwe sticky....ili tuje tuwaulize wahusika!!Je wewe mleta mada unaweza ukapata hiyo document yenye maajina??uiscan...uiweke hapa!!
 
Hapa ntarud bidae ila nchi hii imearibika.Wasiofanya Kosa ndio wanakamatwa huku watuhumiwa wakiachiwa Huru...Ntarudi tena bidae
 
Haya ndio Maswali mazuri ya kumuuliza Mh. NAPE NNAUYE aliyeweka HABARI ZAKE FACEBOOK kuwa CHADEMA IMEUA

Na Mwengulu Mchemba kwa Kuokota Majambazi kuwasafirisha hadi SINGIDA

CCM - Lazima wawe responsible na UCHAFU WANOFANYA na ndio VIJANA KIKWETE ANATAKA WAONGOZE NCHI???
 
Katibu wa vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Singida, amefanikisha zoezi la kuwawadhamini (vjana wanaosadikiwa kuwa majambazi) waliokodishwa toka Dar kuja Singida kwa ajili ya kufanya fujo katika mikutano ya CHADEMA.

Katibu huyo wa vijana wa CCM Ndugu Omari Mtua ametafuta vijana wengine wa CCM kufanikisha zoezi la kuwadhamini watuhumiwa saba:

Ili kuweka kumbukumbu sawa niwakumbushe kwamba vijana wamejitambulisha katika hati ya Mashtaka kuwa ni Abdala Mbwana Kingwande, (Mndengereko), ana Miaka 36, Mwislamu, Mfanyabiashara na Mkaazi wa Segerea Dar es Salaam.

Wa Pili Ni Nasri Salehe (Mnyamwezi), ana umri 28, Mwislamu, anakaa karikaoo, na ni mfanyabiashara. Wa tatu ni Laizimu Njama, ni MMakua, ana miaka 42, Mwislamu, anatokea Tandika/Temeke Dar es salaam. Wa Nne ni Mohamedi Abdalaa, Mluguru, ana miaka 34, Mwislamu, anakaa Kibamba Dar es Salaam, wa Tano ni Rudoviki Muganyizi, Mhaya, ana miaka 32, Mkristo, Ni Injinia. Wa Sita ni Justini Sangu, Mfipa, ana miaka 40, Mkristo anakaa Dar na ni mfanyabiashara. Wa Saba ni Salumu Ali Rashidi, ni Mmwela, ana miaka 26, Mwislamu, ni Mkaazi wa Tandika Jijijini Dar.

Maswali:CCM wana uhusiano gani na vijana hawa toka Dar waliokuja kufanya fujo Ndago? Mbona walipotoka Gerezani walielekea moja kwa moja ofisi za CCM? Nani ni ndugu yao kwenye ofisi hiyo? Katibu wa CCM wa Iramba alitoa gari kwa manufaa yapi?

Kwanini mpaka sasa Jeshi la Polisi halijamwita Mwigulu Nchemba, mtuhumiwa muhimu anayetajwa kuwa aliratibu zoezi la kukodisha majambazi hayo kuja kufanya fujo?

Kwanini Jeshi la Polisi hadi sasa linaogoma kuwakamata na kuwahoji waliofunguliwa mashtaka siku ile ile mbele ya Mkuu wa Kituo, OCS Longino, badala yake linawasaka wengine na kuwabambikiza kesi? (NDG/RB/190/2012). Hii kesi polisi wamehongwa kiasi gani kiasi kwamba hawawakamati waliofanya fujo?

Mnyika alitoa maelekezo RB Ifunguliwe muda ule ule mkutano ukiwa unaendelea baada ya kufanyiwa fujo Mengine
Good work, with all the reputation.
 
Huu uharamia wa ccm kupanga mauaji kuharibu na kuvuruga mikutano ya CDM mpaka lini?
 
Ccm na serikali yake wana mkono mrefu ila kwa mafisadi mkono wao mfupi sana.............hii ndiyo sisiemu bana ukiona vyama vingine ujue ni fotokopi tu
 
Tusubiri message nyingine feki. Polisi hawaoni jinsi wanavyojizalilisha kwa kutumika kisiasa???
 
Between the lines, kesi inayowahusu Mnyika, Dr. Mkumbo na wengine haiwezi kuwa ni ya mauaji. Kwa sababu ni moja: Anayetuhumiwa kwa mauaji, hapewi dhamana na mahakama yoyote isipokuwa Mahakama Kuu.

Ninachoona hapa ni kesi ya uchochezi na "fujo" kwenye mkutano na kama ni kweli baadhi ya waliokamatwa si wakazi wa Ndago, ninaona mwisho wa kesi hii kuwa kama ile ya Igunga (Mkuu wa Wilaya kuvuliwa mtandio). Ushahidi utakosekana kwa sababu nia itakuwa ni kuficha nia ya hao watu wa Dar kukamatwa katika fujo za Ndago. Na haiwezekani kuwa CHADEMA iliwaleta katika mkutano wake ili hatimaye wafanye fujo!!

It's another sill law suit, you have heard it here first!!!
 
Katibu wa vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Singida, amefanikisha zoezi la kuwawadhamini (vjana wanaosadikiwa kuwa majambazi) waliokodishwa toka Dar kuja Singida kwa ajili ya kufanya fujo katika mikutano ya CHADEMA.

Katibu huyo wa vijana wa CCM Ndugu Omari Mtua ametafuta vijana wengine wa CCM kufanikisha zoezi la kuwadhamini watuhumiwa saba:

Ili kuweka kumbukumbu sawa niwakumbushe kwamba vijana wamejitambulisha katika hati ya Mashtaka kuwa ni Abdala Mbwana Kingwande, (Mndengereko), ana Miaka 36, Mwislamu, Mfanyabiashara na Mkaazi wa Segerea Dar es Salaam.

Wa Pili Ni Nasri Salehe (Mnyamwezi), ana umri 28, Mwislamu, anakaa karikaoo, na ni mfanyabiashara. Wa tatu ni Laizimu Njama, ni MMakua, ana miaka 42, Mwislamu, anatokea Tandika/Temeke Dar es salaam. Wa Nne ni Mohamedi Abdalaa, Mluguru, ana miaka 34, Mwislamu, anakaa Kibamba Dar es Salaam, wa Tano ni Rudoviki Muganyizi, Mhaya, ana miaka 32, Mkristo, Ni Injinia. Wa Sita ni Justini Sangu, Mfipa, ana miaka 40, Mkristo anakaa Dar na ni mfanyabiashara. Wa Saba ni Salumu Ali Rashidi, ni Mmwela, ana miaka 26, Mwislamu, ni Mkaazi wa Tandika Jijijini Dar.

Maswali:CCM wana uhusiano gani na vijana hawa toka Dar waliokuja kufanya fujo Ndago? Mbona walipotoka Gerezani walielekea moja kwa moja ofisi za CCM? Nani ni ndugu yao kwenye ofisi hiyo? Katibu wa CCM wa Iramba alitoa gari kwa manufaa yapi?

Kwanini mpaka sasa Jeshi la Polisi halijamwita Mwigulu Nchemba, mtuhumiwa muhimu anayetajwa kuwa aliratibu zoezi la kukodisha majambazi hayo kuja kufanya fujo?

Kwanini Jeshi la Polisi hadi sasa linaogoma kuwakamata na kuwahoji waliofunguliwa mashtaka siku ile ile mbele ya Mkuu wa Kituo, OCS Longino, badala yake linawasaka wengine na kuwabambikiza kesi? (NDG/RB/190/2012). Hii kesi polisi wamehongwa kiasi gani kiasi kwamba hawawakamati waliofanya fujo?

Mnyika alitoa maelekezo RB Ifunguliwe muda ule ule mkutano ukiwa unaendelea baada ya kufanyiwa fujo Mengine

What shame polisi.....to whom benefit.mwisho wenu waja.Thanks mleta uzi.
 
Cdm hakikisheni mwigulu 2015 hapiti kwenye jimbo na tunajua ataua sana wananchi wake ili apate kura bt jimbo lake liingie cdm
 
Nchemba ni jambazi kubwa huyu ndio alitakiwa kukamatwa kwanza ila kwa vile nchi hii haki ni kwa ccm tu utashangaa kusikia hahusiki!huyu 2015 ni wa kukupiga chini.
 
Haya ndio Maswali mazuri ya kumuuliza Mh. NAPE NNAUYE aliyeweka HABARI ZAKE FACEBOOK kuwa CHADEMA IMEUA

Na Mwengulu Mchemba kwa Kuokota Majambazi kuwasafirisha hadi SINGIDA

CCM - Lazima wawe responsible na UCHAFU WANOFANYA na ndio VIJANA KIKWETE ANATAKA WAONGOZE NCHI???
Mwegulu Nchemba nimemsikiliza mara nyingi na nashindwa kuelewa alipataje nafasi kubwa kwenye chama kikongwe.
Kwa sasa inabidi ajitayarishe kwa kupambana na Mkumbo na kwanza inabidi athibitishe jina lake.Hii pekee itam cost hata Ubunge.
 
Back
Top Bottom