CCM yavuruga MIPANGO yake

Mzee tupatupa inawezekana ulituletea habari ya uongo jana leo umekuja kuibadilisha ionekane CCM ndio wamebadili mipango yao.

Bado tunafuatilia kwa kuwa kwenye hiyo kamati ya siri upo.
 
Baada ya mimi
kuripoti humu JF jana kuwa CCM imeanza kujiandaa kwa Kampeni za
Sumbawanga Mjini,jana kilifanyika kikao kingine. Nashukuru
hawakunifahamu hivyo kutonitenga. Nikawepo tena kwenye Kikao cha pili
cha dharura. Kikaoni,tukaanza kutemewa mkwara na 'Mwenyekiti' wa kikao
ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.

' Tumepokea taarifa kuwa yupo mtu humu anaweka mipango yetu wazi kwenye
mitandao. Tumeshamjua. Tunamuonya asirudie. Na leo tumemtenga rasmi
kwenye vikao vyetu vya kimkakati. Hatahudhuria hadi atakapotubu'
alitamba 'Mwenyekiti' huyo. Nusura nicheke. Kweli CCM ni waongo na
waliojaa propaganda. Mbona mimi nipo?! nilijiuliza kimoyomoyo.

Eti, taarifa ikatolewa kuwa mipango ya awali ya kumteua Mwigulu na timu
yake ya Kampeni na nini sijui imesitishwa. Imesitishwa kwakuwa imevuja.
Ikaundwa Kamati Ndogo itakayoshughulikia kisirisiri mipango hiyo ya
Sumbawanga Mjini. Nami pia nimo. Raha ilioje! Mwaka huu,hadi kieleweke.
Nilifundishwa jeshini enzi hizo kuwa ukitaka kumjua adui vyema,jiunge
naye kwa juhudi zako zote. Ndivyo nilivyofanya. CCM hawatapata
pakutokea.

Hii tayari imeshavuja. watavunja wataunda ndogo zaidi,ukisema umo watateua wawili ukisema umo watatuma mmoja mmoja mwisho watakulimboka.Kazi njema kila la kheri uendelee kutujuza.
 
Baada ya mimi kuripoti humu JF jana kuwa CCM imeanza kujiandaa kwa Kampeni za Sumbawanga Mjini,jana kilifanyika kikao kingine. Nashukuru hawakunifahamu hivyo kutonitenga. Nikawepo tena kwenye Kikao cha pili cha dharura. Kikaoni,tukaanza kutemewa mkwara na 'Mwenyekiti' wa kikao ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.

' Tumepokea taarifa kuwa yupo mtu humu anaweka mipango yetu wazi kwenye mitandao. Tumeshamjua. Tunamuonya asirudie. Na leo tumemtenga rasmi kwenye vikao vyetu vya kimkakati. Hatahudhuria hadi atakapotubu' alitamba 'Mwenyekiti' huyo. Nusura nicheke. Kweli CCM ni waongo na waliojaa propaganda. Mbona mimi nipo?! nilijiuliza kimoyomoyo.

Eti, taarifa ikatolewa kuwa mipango ya awali ya kumteua Mwigulu na timu yake ya Kampeni na nini sijui imesitishwa. Imesitishwa kwakuwa imevuja. Ikaundwa Kamati Ndogo itakayoshughulikia kisirisiri mipango hiyo ya Sumbawanga Mjini. Nami pia nimo. Raha ilioje! Mwaka huu,hadi kieleweke. Nilifundishwa jeshini enzi hizo kuwa ukitaka kumjua adui vyema,jiunge naye kwa juhudi zako zote. Ndivyo nilivyofanya. CCM hawatapata pakutokea.
Nape akiiona hii anatamani kupasuka, wakikugundua pollonium inakuhusu mkuu
 
VID-20110829-00000
Mzee Tupatupa usije sababisha ngumi ndani ya kikao chenu
 
Nafikiri nyie vichwa vya panzi visivyoweza kufikiri msiwe vilaza kiasi hicho. Ukifikia mahala unaamini aliyoleta huyu jamaa jua kuwa na wewe hamnazo. Kilichonituma ni kwamba ameniambia si muda mrefu niingie humu nione vilaza wanavyoangaika kwa taarifa dhaifu na ambazo hazipo. Jana vile vile vile vilaza nyie nyie mlishinda humu kwa taarifa kama hii. Hivi hamuwezi kufikiri hata kidogo. Kweli vichwa vya senene ni vya senene tu. A cha ujinga toka humu kafanye kazi.TOKA MALOFA NYIE
 
Lofa mwenyewe.Nani amekutuma? Ili iweje? Wewe utakuwa huna adabu hata kwa wakubwa zako. Jifunze kuwa na adabu
 
piga ua ni nape uyu.ccm hali mbaya na tena lowasa anavyokuja juu nape lazima akimalize ccm kamua nape
 
Mkuu Mzee TupaTupa,

1. Tunashukuru kwa updates...lakini natamani sana Mh. January Makamba angesoma uzi huu(kama bado hajausoma) ili atambue hiyo 2015 ni ngumu kushinda kama anavyodhani kwani hii haiko Sumbawanga tu(hii iko kila sehemu Kuanzia Ikulu, Mahakama, Jeshi la Polisi, hadi katika mitaa).

2. Nakukumbusha uwe makini mkuu, it's not bad to lay LOW but ACTIVE profile for a while, that's how GT play that game.

Kazi njema.
 
It is too good to be true.i ddnt but it yesterday,am not buying it 2day.
 
Mzee Tupatupa na Wana JF,
Tunashukuru kwa kutuabarisha ila kazi yako ni ngumu na nzito.
Nawakilisha.

Baada ya mimi kuripoti humu JF jana kuwa CCM imeanza kujiandaa kwa Kampeni za Sumbawanga Mjini,jana kilifanyika kikao kingine. Nashukuru hawakunifahamu hivyo kutonitenga. Nikawepo tena kwenye Kikao cha pili cha dharura. Kikaoni,tukaanza kutemewa mkwara na 'Mwenyekiti' wa kikao ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.

' Tumepokea taarifa kuwa yupo mtu humu anaweka mipango yetu wazi kwenye mitandao. Tumeshamjua. Tunamuonya asirudie. Na leo tumemtenga rasmi kwenye vikao vyetu vya kimkakati. Hatahudhuria hadi atakapotubu' alitamba 'Mwenyekiti' huyo. Nusura nicheke. Kweli CCM ni waongo na waliojaa propaganda. Mbona mimi nipo?! nilijiuliza kimoyomoyo.

Eti, taarifa ikatolewa kuwa mipango ya awali ya kumteua Mwigulu na timu yake ya Kampeni na nini sijui imesitishwa. Imesitishwa kwakuwa imevuja. Ikaundwa Kamati Ndogo itakayoshughulikia kisirisiri mipango hiyo ya Sumbawanga Mjini. Nami pia nimo. Raha ilioje! Mwaka huu,hadi kieleweke. Nilifundishwa jeshini enzi hizo kuwa ukitaka kumjua adui vyema,jiunge naye kwa juhudi zako zote. Ndivyo nilivyofanya. CCM hawatapata pakutokea.
 
Nina shaka kuu na Mzee TUPATUPA.Anataka kuteka akili za watu humu na hana lolote.Nitafuatilia nitakaporidhika si intelligensia
 
Back
Top Bottom