Elections 2010 Ccm yauwa mtu kawe.

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,062
Kaazi kweli kweli. CCM wamekaa kimya?

Sasa sijui vyama vingine huko Kawe waandike barua NEC kuwa CCM ni chama cha Vurugu na Kuuwa watu? Utashangaa NEC wamebugia maji mdomoni. CCM na POLISI yao watakaa kimya kama vile hakikutokea kitu.

CCM mnatupeleka PABAYA. Damu kibao zimeshamwagika na zitaendelea kumwagika. Ileeni hii hali ila familia zenu pia zitaonja joto kama Moto ukiwaka.

STOP THIS STUPID CIVIL WARS.

HABARI ZA MAGAZETI ZINASEMA Mtu Mmoja kwa jina La Mushi alifanya funjo katika kampeni za uchaguzi jimbo la Kawe kwenye mkutano wa CCM, (obvious hakuwa mwana CCM) mtu huyo ali pigwa na wafuasi wa CCM na kuwekwa ndani na polisi, huko Mauti yalimkuta akiwa sero, AJABU ni kuwa hadi leo hakuna mtu aliekamatwa,kumbuka Maswa hadi leo kuna watu zaidi 10 wanatuhumiwa kwa mauaji ya dereva wa CCM, Hata Shibuda ambaye hakuwepo kwenye vurugu hizo alishikiliwa na polisi kwa muda mrefu, inakuwaje Leo mgombea wa CCM asiwekwe ndani akisubiri uchunguzi wa polisi ikizingatiwa kuwa yeye alikuwa akihutubia hapo. POlisi wanasema Mushi aliwapiga watuhumiwa wengiwe huko sero na alijibamiza kichwa kwenye ukuta, hatujamsikia Manumba wala Kova kwenda au kuzungumzia hili, UTENDAJI WA POLISI MBONA HAUKO CONSTISTANCE
 
Si hata vyama vingine ndio viandike. Vipi huko kawe hakuna msimamizi wa uchaguzi? Au hawa wasimamizi wanapewa mafunzo tofauti? Msimamizi wa maswa fasta alikimbilia kuandika barua na kuituma kwa kina kiravu. Polisi kimya kama vile hakuna mauaji yametokea. Unafiki huu una mwisho tu.
 
Back
Top Bottom