CCM Yatudhalilisha Watz USA; Nape Afungua Matawi Mpaka Car Wash!

Jun 8, 2011
52
19
Sasa haya ni matusi lazima hatua kali zichukuliwe dhidi ya Nape Nauye kwa kitendo cha kutudhalilisha watz wa hapa Us na huko bongo, eti kaenda Huoston(wabongo kibao) kufungua matawi ya chama tawala(CCM) huku wamarekani wanatushangaa iweje ofisi iwe kwenye car wash? au vituo vya kulelea wazee? na ikumbukwe kuwa alichokuwa anasema Nape ni kuwa yeye anzindua matawi ya chama tawala cha Tanzania hivyo wote tunaonekana "HAMNAZO"
 
Kweli ninyi hamnazo simnajipendekeza sana, kama vipi rudini tanzania. Mbona mnateseka sana nchi za watu mkiishi kwa benefits wakati bongo raha msatarehe watu wanakula bata tu. Nimetembea nchi nyingi lakini bado naona tanzania ya ukweli. Watanzania wengi waliopo nje ya nchi wanawadanganya sana kuwa huko maisha babu kubwa hakuna lolote mnaishia kuosha magari na kuuza unga tu.
 
kweli ninyi hamnazo simnajipendekeza sana, kama vipi rudini tanzania. mbona mnateseka sana nchi za watu mkiishi kwa benefits wakati bongo raha msatarehe watu wanakula bata tu. Nimetembea nchi nyingi lakini bado naona tanzania ya ukweli. Watanzania wengi waliopo nje ya nchi wanawadanganya sana kuwa huko maisha babu kubwa hakuna lolote mnaishia kuosha magari na kuuza unga tu.
mkuu hapo kwenye blue sijakupata duu halafu unasema umezunguka nchi nyingi mmh labda arabuni
 
Nyie na CCM mtabanana mno mbona huku kwetu Mwanza haji wala JK haji inakuwaje ni US tu ? Misafara kila siku yeye ana watu wangapi kwenye msafara wake ?
 
mkuu hapo kwenye blue sijakupata duu halafu unasema umezunguka nchi nyingi mmh labda arabuni

benefits ni fedha za kujikimu wanazopewa na serikali kwa wale ambao hawana kazi.
Mwanzoni nami nilikuwa kama wewe nikiamini waliopo huko unyamwezini maisha yao yapo supaa, lakini siyo hivyo, huwezi amini unaenda na wabongo club unawanunulia kinywaji hawaamini kabisa kama mtu aliyetoka bongo anaweza kufanya hivyo. Mengine hatuwezi kuyaongea sana kwa ajili ya kulinda utu. Upende utaifa wako na nchi yako kaka hata kama ni maskini.
 
kaka inabidi afungue matawi kwenye car wash maana huko ndio waTZ wanapofanyia kazi wawapo mamtoni. hawezi kufungulia kwenye maofisi wakati maofisi yana watu wenye nazo hamnazo ndo wanapatikana carwash. hahaaaaaaaaaaaaa NAPE anasoma au na yeye anapiga car wash?
 
Sasa haya ni matusi lazima hatua kali zichukuliwe dhidi ya Nape Nauye kwa kitendo cha kutudhalilisha watz wa hapa Us na huko bongo, eti kaenda Huoston(wabongo kibao) kufungua matawi ya chama tawala(CCM) huku wamarekani wanatushangaa iweje ofisi iwe kwenye car wash? au vituo vya kulelea wazee? na ikumbukwe kuwa alichokuwa anasema Nape ni kuwa yeye anzindua matawi ya chama tawala cha Tanzania hivyo wote tunaonekana "HAMNAZO"
Udhalilishwaji Uko wapi? Kama hao wanachama watakichangia chama chao huko Dar sio Tatizo; Umeona Waspanish hawajali wanapokutana kusaidiana, Umeona Wachina wanasaidiana hawajali mahali pa mikutano yao hata chini ya Mitaro

Msijifanye kuwa huku USA mnasahau kuwa huyo nyumbani hatuna hayo; naona wengi wenu hakupitia JKT; huko tulikuwa tunamikutano mingi tu vichakani how to escape shamba kesho how to get some bread n.k

Mimi siipendi CCM lakini kama wanauwezo wa kukutana kokote kwa manufaa yao more power to CCM!!!
 
Usongombwingo!
Huu ni usonogmbwingo wa kutisha sana sana! SIJAFUNGUA TAWI POPOTE KWENYE SAFARI YANGU YOTE YA MAREKANI....unawewesekea nini?
 
Sasa haya ni matusi lazima hatua kali zichukuliwe dhidi ya Nape Nauye kwa kitendo cha kutudhalilisha watz wa hapa Us na huko bongo, eti kaenda Huoston(wabongo kibao) kufungua matawi ya chama tawala(CCM) huku wamarekani wanatushangaa iweje ofisi iwe kwenye car wash? Au vituo vya kulelea wazee? Na ikumbukwe kuwa alichokuwa anasema Nape ni kuwa yeye anazindua matawi ya chama tawala cha Tanzania hivyo wote tunaonekana "HAMNAZO.

CLEARLY, you're a hater. Kwanza umefungua account just to post up this thread...SO WHAT HAV U GAINED EXACTLY? 2.Point us to one American anayewashangaa ofisini yenu iwepo car wash or nursing home? come on son.

Nakubaliana na mtu aliyeandika hivi

Udhalilishwaji Uko wapi? Kama hao wanachama watakichangia chama chao huko Houston sio Tatizo; Umeona Waspanish hawajali wanapokutana kusaidiana, Umeona Wachina wanasaidiana hawajali mahali pa mikutano yao hata kwenye beauty supply stores.

So im stil debating the main aim of this thread..ilikua ni kumponda jamaa au kusema yakua we unakaa marekani and umedhalilishwa? i stay here too and SIJISIKII KAMA NIMEDHALILISHWA......kwani ndo uwezo wetu and kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake....please clarify ur agenda and next time come at us with something concrete....

Acha ulimbwende usiyo na kichwa wala mguu..
 
Sasa haya ni matusi lazima hatua kali zichukuliwe dhidi ya Nape Nauye kwa kitendo cha kutudhalilisha watz wa hapa Us na huko bongo, eti kaenda Huoston(wabongo kibao) kufungua matawi ya chama tawala(CCM) huku wamarekani wanatushangaa iweje ofisi iwe kwenye car wash? au vituo vya kulelea wazee? na ikumbukwe kuwa alichokuwa anasema Nape ni kuwa yeye anzindua matawi ya chama tawala cha Tanzania hivyo wote tunaonekana "HAMNAZO"
Weka picha...
 
Usongombwingo!
Huu ni usonogmbwingo wa kutisha sana sana! SIJAFUNGUA TAWI POPOTE KWENYE SAFARI YANGU YOTE YA MAREKANI....unawewesekea nini?
Right, US sio kama UK, kafungue matawi Uingereza huko ndio kuna makada wenu.
 
Usongombwingo!
Huu ni usonogmbwingo wa kutisha sana sana! SIJAFUNGUA TAWI POPOTE KWENYE SAFARI YANGU YOTE YA MAREKANI....unawewesekea nini?
Safi kwa kumpa kubwa huyo mleta mada,anataka kuudanganya umma! Nalog off
 
benefits ni fedha za kujikimu wanazopewa na serikali kwa wale ambao hawana kazi.
Mwanzoni nami nilikuwa kama wewe nikiamini waliopo huko unyamwezini maisha yao yapo supaa, lakini siyo hivyo, huwezi amini unaenda na wabongo club unawanunulia kinywaji hawaamini kabisa kama mtu aliyetoka bongo anaweza kufanya hivyo. Mengine hatuwezi kuyaongea sana kwa ajili ya kulinda utu. Upende utaifa wako na nchi yako kaka hata kama ni maskini.
acha kutudhalilisha wewe , wengine tumekuja kikazi hapa USA tena so kazi unazosema wewe hizo, nipe email yako na contacts zako niwaambie waajiri wangu kuwa uje kama relative wewe na my wife na watoto kwenye annual visit mwisho wa mwaka, nitakutumia na viza, ingawa sibishi kuna baadhi ya wabongo dah.................................naogopa kusema hizo kazi zao mmh
 
kaka inabidi afungue matawi kwenye car wash maana huko ndio waTZ wanapofanyia kazi wawapo mamtoni. hawezi kufungulia kwenye maofisi wakati maofisi yana watu wenye nazo hamnazo ndo wanapatikana carwash. hahaaaaaaaaaaaaa NAPE anasoma au na yeye anapiga car wash?
kazi kwelikweli, amekuja kushangaa maghorofa tu, atasoma nini? wakati anasema kuwa ameyapinga maisha kwa mbele si unamwona kitambi kinaongezeka tu, we hujui eenh kuwa hizi trip kila moja anakomba mkwanja wa posho TZS 2millions
 
Udhalilishwaji Uko wapi? Kama hao wanachama watakichangia chama chao huko Dar sio Tatizo; Umeona Waspanish hawajali wanapokutana kusaidiana, Umeona Wachina wanasaidiana hawajali mahali pa mikutano yao hata chini ya Mitaro

Msijifanye kuwa huku USA mnasahau kuwa huyo nyumbani hatuna hayo; naona wengi wenu hakupitia JKT; huko tulikuwa tunamikutano mingi tu vichakani how to escape shamba kesho how to get some bread n.k

Mimi siipendi CCM lakini kama wanauwezo wa kukutana kokote kwa manufaa yao more power to CCM!!!
ndo umeongea nini wewe? nilikuwa nakuheshimu ila hapa umeniangusha sana! umeongea pumba kwelikweli, sisi tunachekwa hawa niggaz na baadhi ya wazungu wanatwambia we are doomed kuweka ofisi za chama tawala(kinawakilisha Tanzania nzima) kwenye car wash
 
Usongombwingo!
Huu ni usonogmbwingo wa kutisha sana sana! SIJAFUNGUA TAWI POPOTE KWENYE SAFARI YANGU YOTE YA MAREKANI....unawewesekea nini?
Kwa kiongozi wa chama wa hadhi yako unapofanya mambo kama "hamnazo" lazima sisi wenye akili timamu tukuonye look hebu mkuu fungua akili yako ili iweze kusikia, kuchambua na kuelewa.

Mwishoni nikupe onyo kali kuwa usikariri kuwa ni lazima ukanushe kila kitu kama unavyojaribu kufanya hapa unajidhalilisha, ukweli kama huu kubali tu, angalia huyu jamaa kwa kupenda kukariri kuwa ni lazima ufunge kufuli kujilinda usipate ukimwi teh teh teh hakuelewa ni bongo akadhani ni kufanya mchezo huu wa kipuuzi, TAKE CARE!

Swali nalokuacha nalo ni hili kama ulizuiwa kwenda IGUNGA kwanini usiitwe ni vuvuzela la CCM?
 
We Nape hii ID si uliikana?ukasema si yako?kisa umetoa matokeo ya Igunga yanayojichanganya?kweli we ni Mnafiki sana
Usongombwingo!
Huu ni usonogmbwingo wa kutisha sana sana! SIJAFUNGUA TAWI POPOTE KWENYE SAFARI YANGU YOTE YA MAREKANI....unawewesekea nini?
 
Usongombwingo!
Huu ni usonogmbwingo wa kutisha sana sana! SIJAFUNGUA TAWI POPOTE KWENYE SAFARI YANGU YOTE YA MAREKANI....unawewesekea nini?

hivi hili jina lako si ulilikana wakati wa kutoa matokeo ya igunga kweli nimeamini njia ya muongo fupi leo umeitumia tena kuonyesha uzuzu wako poor u
 
Back
Top Bottom