CCM yatoa tamko juu ya mauaji ya Daudi Mwangosi

Wewe na Nape lenu moja lazima umuunge mkono boss wako!!!!Mliuwa Songea kimyaaa, mkauwa Usa, Arusha CCM kimyaa, mliuwa Igunga kimyaaa, Morogoro mmeuwa kimyaaa,sijui ni mara ngapi mtaendelea kuwauwa Watanzaia???? Ila kila jambo ukae ukijua lina mwisho wake, na nyinyi mtabaki historia kama KANU Kenya!!!!!


Na Singida mbona umesahau?
 
Unajua unachekesha sana ndg ha ha haaa, hivi mumeo akinya kitandani na wewe utakunya? na je kitanda hicho kitalalika kweli? je mwenzie akivunja sheria bila kusababisha madhara, akafanikiwa na wewe ukavunja sheria kwa kufuata mkumbo ukasababisha madhara na ukanaswa. je utasema uko halali,? kumbuka Ignornce of the law is not a difence. mumelikoroga na mutalinywa tu, no way.

Mkuu tukumbushane tu kuwa kitendo cha polisi ni kinyume cha sheria.

Sheria ya Makosa ya Jinai Sura ya 20 ibara ya 21
21.-(1) Afisa polisi au mtu mwingine hatatakiwa, wakati wa kumkamata mtu, kutumia nguvu zaidi au kuvunja utu wa mtu huyo zaidi ya ilivyo lazima kufanikisha ukamataji au kumzuia utorokaji wa mtu baada ya kukamatwa.
(2) Bila kupunguza matumizi ya kifungu kidogo cha (1), afisa polisi hatatakiwa, wakati wa kumkamata mtu, kufanya kitendo kinachoweza kusababisha kifo kwa mtu huyo, isipokuwa kama afisa polisi anaamini kwa sababu za msingi kwamba kufanya kitendo hicho ni muhimu katika kulinda maisha au kuzuia madhara makubwa kwa mtu mwingine.


Sheria ya Kanuni za Adhabu Sura ya 4 ibara ya 18B.-
(1) Katika kutumia haki ya kujilinda mwenyewe au kumtetea mtu mwingine au kutetea mali, mtu atatakiwa tu kutumia nguvu za kiasi zinazostahili ulinzi husika.

(2) Mtu atawajibika kuwa ametenda kosa la jinai kwa kosa lolote litakalotokana na matumizi ya nguvu kupita kiasi katika kujilinda au anapomlinda mtu mwingine au anapolinda mali.
(3) Mtu yeyote atakayesababisha kifo cha mtu mwingine kutokana na matumizi ya nguvu kupita kiasi katika kujilinda, anakuwa ametenda kosa la kuua bila kukusudia.
 
Nape ni sawa na filimbi mbovu,unafiki na kukipendekeza vinazidi kukupoteza kwenye siasa,wewe unakoelekea bora hata pacha wako Tambwe hiza.

Kufuata sheria?polisi ndo walifuata sheria kuua?
Nakupa tahadhari" siku mbaya zinakuja kwako na ccm,siku ambayo utatamani
Kutubia uovu wako ktk jukwaa la M4C na utakuwa umechelewa,tafadhari geuka ukatubu
damu ya Mwangosi inakulilia usije ukaja kulia na kusaga meno ukijuta kutumiwa"

CCM hakika haina maisha marefu,niamini!
 
Hata Mbuyu ulianza kama mchicha. Hofu ya CCM ni kukubalika kwa CDM na uwezo walionao viongozi wake, kwani wao wanakubalika sasa CCM waliona kuwa endapo M4C itafanikiwa basi lile neno nilisikia mmoja wa viongozi akitamka kuwa "CCM itatawala jana, leo na milele" Halitatimia na for sure halitatimia bse people are no longer ignorant as you think Bwana Mdogo Nnauye, acha utoto. I think CCM should get a better person than you do bse where you are heading is dangerous.
 
Baada ya kusoma comment kadhaa, nimegundua namfahamu personally huyu jamaa Careboy wamuntere !! Wala sitanii, huyu jamaa ni kilaza (sio tu kutokana na comment zake, that is how I know him). Namna yake pekee ya kutoka ni kufanya siasa za majitaka ili ajikombee ujiko ndani ya chama. It's a shame. One day we'll meet alafu nitakupa makavu!
 
Last edited by a moderator:
Hata Mbuyu ulianza kama mchicha. Hofu ya CCM ni kukubalika kwa CDM na uwezo walionao viongozi wake, kwani wao wanakubalika sasa CCM waliona kuwa endapo M4C itafanikiwa basi lile neno nilisikia mmoja wa viongozi akitamka kuwa "CCM itatawala jana, leo na milele" Halitatimia na for sure halitatimia bse people are no longer ignorant as you think Bwana Mdogo Nnauye, acha utoto. I think CCM should get a better person than you do bse where you are heading is dangerous.

Jenerali Ulimwengu alishasema haya kuwaaa,...Mbuyu huu (CCM) unapoanguka basi kutakuwa na uharibifu wa hapa na pale kwa viumbe na mimea iliyokaribu na mbuyu huo
, (acheni wachache wafe lakini ukombozi ni muhimu kwani hawajifunzi na hawafundishiki)
 
Nape ni mweupe kichwani. Na sitegemei press release ya maana toka kwake!!! Siku zote alikuwa wapi hajatoa press? Alikuwa anajipanga au ni baada ya kuona kila mtanzania amekemea jambo hilo? Viongozi wa dini nao wamesimama kidete!!! Subirini!!!

Where have you been all alng?
 
KWA NINI HAKUNA HATE? MBONA 'like' ipo? Nashauri 'hate' nayo iwepo ili kama mtu hupendi threads kama hizi za 'NEPI YA' NNAUYE basi ubofye kwenye 'hate'.
 
watu wengine ovyo. Watanzania wanajua mfadhili wa mauaji hayo. Stevin wasira, nape na namwigulu ndio wauaji.
 
Back
Top Bottom