CCM yatengeneza kadi bandia, ni za CHADEMA na kuzigawa kwa wana CCM kisha kuzirejesha !

JOB SEEKER

Senior Member
Aug 1, 2011
145
33
Ccm Inatengeneza kadi bandia za chadema na kuzisambaza kwa baadghi ya wana ccm kisha kuzirejesha ili chama kionekane kukimbiwa Hapa arusha maeneo ya kimandolu kuna kadi zinagawiwa kwa wana ccm na viongozi wa juu wa ccm
 
CCM wamefilisika sasa wanajaribu kutumia cheap politics kuwahadaa wananchi, itakula kwao. CDM si chama cha kuchezea.
 
Umejuaje kama ni za bandia? Labda ulete ushahidi mwingine kuthibitisha madai yako.
Ccm Inatengeneza kadi bandia za chadema na kuzisambaza kwa baadghi ya wana ccm kisha kuzirejesha ili chama kionekane kukimbiwa Hapa arusha maeneo ya kimandolu kuna kadi zinagawiwa kwa wana ccm na viongozi wa juu wa ccm
 
Uzushi mtupu. mods tou hii pumba humu janvini.

1.jpg
 
Back
Top Bottom