CCM yatapatapa; Masha asema chama kimemeguka

Lusinde si ndo moja ya wabunge STD 7 wa CCM kama niko wrong mnaweza nisahihisha
 
cha msingi ni kugawa CCM kuwa vyama viwili kimoja cha kijamaa na kingine cha kibepari.....................Beno Malisa nae atambue kuwa yeye si Chaguo la vijana bali aliyekuwepo(Masauni) alidondoshwa na RIZ 1
 
masha alikomolewa na kiburi chake
angeshinda angepewa uenyekiti wa kamati ya bunge.:lol::lol:
 
Back
Top Bottom