Elections 2010 Ccm yasimamisha mgombea ubunge wa darasa la 6c jimbo la mhambwe!

Bukijo

JF-Expert Member
Jul 28, 2010
208
71
Wadau wa JF,Poleni na majukumuu ya kuleta mapinduzi ya kifikra katika jamii.
Nimeona nami niwashilikishe hili japa bado mi mchanga katika siasa lakin kuna jambo nikifikiria linaniuma na ningependa mnijulishe kwa ufupi-
Je,ni halali kwa mtu ambaye hana hata Certificate ya Primary kuingia Bungeni et kisa yupo CCM?.
Jimbo la Mhambwe lililopo Kibondo/Kigoma mgombea wake wa Ubunge kupitia CCM hakufanikiwa kumaliza darasa la Saba! ameishia darasa la Sita ila kwenye kura za maoni amepita kidedea na kuwa mshindi kupitia CCM!.Wananchi wamechanganyikiwa wakihofu kuwa endapo watamchagua hatofanya lolote kwa kuwa uwezo wa kujieleza ni mdogo na pia hatokua na confidence ya kusimama Bungeni kwa kuwa yeye ni darasa la sita!
Hii et imemsababisha Mbunge wa zamani wa Jimbo hilo-Arcado D.Ntagazwa kuwaonea huruma wakazi wa Jimbo hilo na kuamua Kugombea Ubunge kwa Tiketi ya CHADEMA,akiahidi et kuwaletea maendeleo!
Lakini Je,Ntagazwa ambaye amekaa Bungeni kwa zaidi ya Miaka 20 akiwa CCM na hakufanya lolote katika Jimbo hilo ataleta Mapindizi yoyote kwa sababu yupo CHADEMA?.
Wadau naombeni ushauri kuhusu Jimbo hilo hatuoni Tumchague nan kwani hakuna hata mmoja kati yao anayefaa!!
Asanteni!
 
Dr Slaa, mgombea wake wa Urais alisema mchagulie mbunge wa chama chake, hata kama atakuwa zezeta watamchangamsha. Miaka 20 ndani ya sisi m ni sawa na kuwa uvunguni mwa mafia, huwezi kufurukuta mpaka uwe ndani ya mtandao. Poleni wana Kibondo kwa kuachwa nyuma, napajua jinsi palivyochakaa. Ila msikate tamaa, ikataeni sisi m kama ilivyowatosa kwa miaka mingi
 
Darasa la 6 hii kiboko sasa ile miswada nani atakuwa anamsaidia kutafsiria au mkalimani wake atakuwa Mwl.Makamba :becky::becky::becky:
 
Kwanza umejitambulisha? ok kama wananchi ndio waliompitisha lazima wanajua uwezo wake wa uwajibikaji kwao,so tuwaachie wenyewe,na je sifa za mgombea ubunge ni zipi? yawezekana na sheria inamruhusu kugombea.
 
Sifa za mgombea wa Tz ni kujuwa kusoma na kuandika!!!!!
 
wadau wa jf,poleni na majukumuu ya kuleta mapinduzi ya kifikra katika jamii.
Nimeona nami niwashilikishe hili japa bado mi mchanga katika siasa lakin kuna jambo nikifikiria linaniuma na ningependa mnijulishe kwa ufupi-
je,ni halali kwa mtu ambaye hana hata certificate ya primary kuingia bungeni et kisa yupo ccm?.
Jimbo la mhambwe lililopo kibondo/kigoma mgombea wake wa ubunge kupitia ccm hakufanikiwa kumaliza darasa la saba! Ameishia darasa la sita ila kwenye kura za maoni amepita kidedea na kuwa mshindi kupitia ccm!.wananchi wamechanganyikiwa wakihofu kuwa endapo watamchagua hatofanya lolote kwa kuwa uwezo wa kujieleza ni mdogo na pia hatokua na confidence ya kusimama bungeni kwa kuwa yeye ni darasa la sita!
Hii et imemsababisha mbunge wa zamani wa jimbo hilo-arcado d.ntagazwa kuwaonea huruma wakazi wa jimbo hilo na kuamua kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema,akiahidi et kuwaletea maendeleo!
lakini je,ntagazwa ambaye amekaa bungeni kwa zaidi ya miaka 20 akiwa ccm na hakufanya lolote katika jimbo hilo ataleta mapindizi yoyote kwa sababu yupo chadema?.
Wadau naombeni ushauri kuhusu jimbo hilo hatuoni tumchague nan kwani hakuna hata mmoja kati yao anayefaa!!
Asanteni!

wapi wameandika mbunge lazima awe na certificate siku nyingine uliza kabla ya kuleta hadharani ....ata jiwe wanauuwezo wa kulismamisha na kushinda ujui ccm
 
Dr Slaa, mgombea wake wa Urais alisema mchagulie mbunge wa chama chake, hata kama atakuwa zezeta watamchangamsha. Miaka 20 ndani ya sisi m ni sawa na kuwa uvunguni mwa mafia, huwezi kufurukuta mpaka uwe ndani ya mtandao. Poleni wana Kibondo kwa kuachwa nyuma, napajua jinsi palivyochakaa. Ila msikate tamaa, ikataeni sisi m kama ilivyowatosa kwa miaka mingi

Uko sahihi kaka, hata Slaa angekuwa CCM asingefurukuta na ndio maana Zitto wanamtaka sana lakini hawampati maana anajua kwamba huko ni kwenda kifungoni, jambo ambalo analiona wazi litammaliza kisiasa katika umri anaotakiwa kupaa.
 
Darasa la 6 hii kiboko sasa ile miswada nani atakuwa anamsaidia kutafsiria au mkalimani wake atakuwa Mwl.Makamba :becky::becky::becky:

Ulishamsikia makamba akichangia hoja bungeni au kuongea kiingereza hata siku moja?
 
Wadau wa JF,Poleni na majukumuu ya kuleta mapinduzi ya kifikra katika jamii.
Nimeona nami niwashilikishe hili japa bado mi mchanga katika siasa lakin kuna jambo nikifikiria linaniuma na ningependa mnijulishe kwa ufupi-
Je,ni halali kwa mtu ambaye hana hata Certificate ya Primary kuingia Bungeni et kisa yupo CCM?.
Jimbo la Mhambwe lililopo Kibondo/Kigoma mgombea wake wa Ubunge kupitia CCM hakufanikiwa kumaliza darasa la Saba! ameishia darasa la Sita ila kwenye kura za maoni amepita kidedea na kuwa mshindi kupitia CCM!.Wananchi wamechanganyikiwa wakihofu kuwa endapo watamchagua hatofanya lolote kwa kuwa uwezo wa kujieleza ni mdogo na pia hatokua na confidence ya kusimama Bungeni kwa kuwa yeye ni darasa la sita!
Hii et imemsababisha Mbunge wa zamani wa Jimbo hilo-Arcado D.Ntagazwa kuwaonea huruma wakazi wa Jimbo hilo na kuamua Kugombea Ubunge kwa Tiketi ya CHADEMA,akiahidi et kuwaletea maendeleo!
Lakini Je,Ntagazwa ambaye amekaa Bungeni kwa zaidi ya Miaka 20 akiwa CCM na hakufanya lolote katika Jimbo hilo ataleta Mapindizi yoyote kwa sababu yupo CHADEMA?.
Wadau naombeni ushauri kuhusu Jimbo hilo hatuoni Tumchague nan kwani hakuna hata mmoja kati yao anayefaa!!
Asanteni!
Umesahau pale bungeni wabunge wote wa CCM wanavyolazimishwa wawe na msimamo mmoja wakati wapinzani wanapoanzisha topic ambazo ni against sera zao? wana vikao vyao wanakaaga siku moja kabla hot topic kuwasilishwa, mwenyekiti anakuwa waziri mkuu kama siyo katibu wao mkuu wa chama(sina hakika sana hapo) Ukiwa mbunge wa CCM unatetea interest za CHAMA siyo nchi. so siyo kitu cha ajabu kuona Ntagazwa akawa active sana ndani ya CHADEMA compared na alivyokuwa CCM. ni system na sera za chama tu mkuu, usiogope kumpa kura.
 
elimu haijawahi kuwa na umuhimu kwenye siasa za tanzania.

ukimaliza ccm kaangalie kwa upinzani. hali hiyo hiyo.
 
Umesahau pale bungeni wabunge wote wa CCM wanavyolazimishwa wawe na msimamo mmoja wakati wapinzani wanapoanzisha topic ambazo ni against sera zao? wana vikao vyao wanakaaga siku moja kabla hot topic kuwasilishwa, mwenyekiti anakuwa waziri mkuu kama siyo katibu wao mkuu wa chama(sina hakika sana hapo) Ukiwa mbunge wa CCM unatetea interest za CHAMA siyo nchi. so siyo kitu cha ajabu kuona Ntagazwa akawa active sana ndani ya CHADEMA compared na alivyokuwa CCM. ni system na sera za chama tu mkuu, usiogope kumpa kura.
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako,make nimesoma Makala yake(Ntagazwa) kwenye gazeti nikavutiwa na msimamo wake ila wasiwasi wangu nikua huenda akawa kama kipindi yupo CCM!
 
Wadau wa JF,Poleni na majukumuu ya kuleta mapinduzi ya kifikra katika jamii.
Nimeona nami niwashilikishe hili japa bado mi mchanga katika siasa lakin kuna jambo nikifikiria linaniuma na ningependa mnijulishe kwa ufupi-
Je,ni halali kwa mtu ambaye hana hata Certificate ya Primary kuingia Bungeni et kisa yupo CCM?.
Jimbo la Mhambwe lililopo Kibondo/Kigoma mgombea wake wa Ubunge kupitia CCM hakufanikiwa kumaliza darasa la Saba! ameishia darasa la Sita ila kwenye kura za maoni amepita kidedea na kuwa mshindi kupitia CCM!.Wananchi wamechanganyikiwa wakihofu kuwa endapo watamchagua hatofanya lolote kwa kuwa uwezo wa kujieleza ni mdogo na pia hatokua na confidence ya kusimama Bungeni kwa kuwa yeye ni darasa la sita!
Hii et imemsababisha Mbunge wa zamani wa Jimbo hilo-Arcado D.Ntagazwa kuwaonea huruma wakazi wa Jimbo hilo na kuamua Kugombea Ubunge kwa Tiketi ya CHADEMA,akiahidi et kuwaletea maendeleo!
Lakini Je,Ntagazwa ambaye amekaa Bungeni kwa zaidi ya Miaka 20 akiwa CCM na hakufanya lolote katika Jimbo hilo ataleta Mapindizi yoyote kwa sababu yupo CHADEMA?.
Wadau naombeni ushauri kuhusu Jimbo hilo hatuoni Tumchague nan kwani hakuna hata mmoja kati yao anayefaa!!
Asanteni!
sioni kama kuwa mbunge wa ccm na sasa ameamua kutoka kunaweza kumfanya asiwe mwanachama mwaminifu kwa CHADEMA.mtu anabadili dini na anakuwa muhumini mzuri zaidi ya waliozaliwa kwenye hiyo dini
 
wakazi wa kibondo mpeni ntagazwa, na hakika atakuwa mgombea mzuri, sana
 
Back
Top Bottom