CCM yashinda udiwani kata ya Vijibweni - Kigamboni

Kwa nini ujumlishe za CUF na Chadema na si CUF na wenziwao CCM! Kumbuka CUF wapo kuhakikisha Chadema haifanikiwi, kwao heri mshindi awe CCM.

Kwanini isiwe kwamba Chadema iko kuhahakisha CUF haifanikiwi, kwao heri CCM awe mshindi..thinking loud
 
huku kumejaa mimtu mise""""ng na aki ya mungu namuomba sana mungu mipango ya ccm kutuuza ifanikiwe na tuuzwe bure ili tuondoke uku na njaa zetu tukafie mbele uko tuachane na maisha ya kinafiki.
Magufuli katutukana na katupandishia bei kwa niaba ya mafisadi wa ccm mimtu ya uku si ya action inaishia kuchekacheka tu km mimal:::ya ya ohio. Pambaaaaaaaaaaaaffffffffffff sana...
Eh mungu pokea maombi aya yetu ya kuuzwa uku kigamboni......
jaziba na maombi mkuu haviendi pamoja!
 
Kwanini isiwe kwamba Chadema iko kuhahakisha CUF haifanikiwi, kwao heri CCM awe mshindi..thinking loud

mkuu hi yako haipo hv unajua kuwa ccm na cuf ndo wanaongoza nchi hii, au umesahau kuwa mnaserikali ya umoja zanzibar!
 
katika vituo vyote 25 CCM wameshinda vituo 24 na CUF kituo 1 ingawa matokeo ya jumla yanaonyesha CHEDEMA itakuwa ya pili. diwani aliyefariki bwana DEWJI alikuwa wa CUF.

katika kituo cha serikali za mtaa mkwajuni CCM imepata 178 CHADEMA 114 na CUF 71

katika uchaguzi mkuu wa 2010 CCM walikuwa namba mbili kwa matokeo yaliyompa ushindi mgombea wa CUF na CHADEMA walikuwa wa tatu.
 
mkuu hi yako haipo hv unajua kuwa ccm na cuf ndo wanaongoza nchi hii, au umesahau kuwa mnaserikali ya umoja zanzibar!

Tuliwaomba cuf tushirikiane nao kuwadhibiti ccm ili wasipate nafasi ya kuingiza vituoni wapiga kura mamluki lakini wakakataa.

Cuf wamesema bora ccm ishinde kuliko chadema kwahiyo hawakujishughulisha hata kidogo kudhibiti mamluki wa ccm badala yake wameshirikiana nao kuwashambulia mawakala wa chadema na kupata nafasi ya kuingiza mamluki vituoni wakati chadema wanakimbizana na polisi.
 
Kwanini isiwe kwamba Chadema iko kuhahakisha CUF haifanikiwi, kwao heri CCM awe mshindi..thinking loud

Jana maalim sultan seif sharif hamad amefunga kampeni za cuf kwa kutumia muda wake mwingi kuishambulia chadema na kuisifia ccm. Sasahivi wafuasi wa cuf wameungana na wale wa ccm kusherekea ushindi.

Ni aibu kwa cuf walioshinda 2010 kukubali kupoteza uongozi wao kwa ccm bila kuonyesha umuhimu wao wa kutetea kiti hicho.
 
Dar itakombolewa pind kahawa ikifutwa kuuzwa. Haiingii akilini mtu anaish kwa kuomba maisha yake yote.ata uhuru wa nchi hii wao walikuwa wasindikizaji tu.
 
Haya ni matokeo tuliyakusanya chadema, bado hayajathibitishwa na kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi.
1.Mathew Suleiman Luwongo(ccm) - 1198
2.Isaya Mwita Charles(Chadema) - 802
3.Ali Juma Ali(cuf) - 731

kimsingi hata hapo magamba wameshindwa, sema tu tatizo ni ubishi wa Kafu tu. wangeungana na chadema mchezo ungeisha.
 
Jana maalim sultan seif sharif hamad amefunga kampeni za cuf kwa kutumia muda wake mwingi kuishambulia chadema na kuisifia ccm. Sasahivi wafuasi wa cuf wameungana na wale wa ccm kusherekea ushindi.

Ni aibu kwa cuf walioshinda 2010 kukubali kupoteza uongozi wao kwa ccm bila kuonyesha umuhimu wao wa kutetea kiti hicho.

Chadema wamekubali kugawanya upinzani tangu walipokataa kushirikiana bungeni..kwahiyo kijumla naweza kusema chadema wanaona bora wawe wapinzani pekee..

Kwani spirit ya kushirikiana waliyopewa na CUF miaka ya nyuma wameipoteza wao chadema..so umoja kwasababu hakuna effective ledership pande zote CUF na Chadema wote wanajiona bora zaidi..until then.
 
watu wamekaa kiubwabwa ubwabwa na kidinidini tu. Thinking capacity approxim to zero.
 
..huyo jamaa wa CUF ndiyo amewaharibia.

..yaani hata sijui kwanini CUF wanagombea huku Tanganyika.
 
wamelogwa haoo atuitaji kura zao hata kidogo wanakuja marais kutoka nje wanawadanganya kujenga nyumba za kupanga unatoa kiwanja si kurogwa kuna haja ya kwuasaidia kama hao bora uende ukasaidie tripoli
 
Aisee? very funny you guys

Adui wenu ni CUF na siyo CCM?

CUF na CCM walishaungana, angalia kwenye uchaguzi wa halmashauri ya jiji mwanza, CDM ilikuwa na viti 16 baada ya kifo cha diwani wao mmoja,CCM 13 na CUF 3, CUF na CCM waliamua kuunganisha nguvu hivyo kama CDM ingeshindwa kwenye uchaguzi kata ya kirumba basi halmashauri ingerudi CCM, CCM kutoa meya na CUF naibu meya,ndo maana zitto alisema ni bora kupoteza Arumeru kuliko hii kata ya kirumba kwani ilikuwa ni muhimu sana kwa CDM ili kuendelea kuongoza halmashauri ya jiji:Sasa jiulize chama cha upinzani kuamua kuungana na CCM
 
Back
Top Bottom