CCM yashinda udiwani kata ya Vijibweni - Kigamboni

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,564
7,970
Matokeo haya sasa ni rasmi (final results) kama yalivyotangazwa na msimamizi wa uchaguzi kata ya vijibweni;

1.Mathew Suleiman Luwongo(ccm) - 1198
2.Isaya Mwita Charles(Chadema) - 779
3.Ali Juma Ali(cuf) - 736
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Haya ni matokeo tuliyakusanya chadema, bado hayajathibitishwa na kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi.
1.Mathew Suleiman Luwongo(ccm) - 1198
2.Isaya Mwita Charles(Chadema) - 802
3.Ali Juma Ali(cuf) - 731
Ishara mbaya kwa makamanda!
 
haya ni matokeo tuliyakusanya chadema, bado hayajathibitishwa na kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi.
1.mathew suleiman luwongo(ccm) - 1198
2.isaya mwita charles(chadema) - 802
3.ali juma ali(cuf) - 731
si mbaya sana, but kigamboni wanahitaji kukombolewa hakika!
Ukijumlisha kura za cdm na cuf, ccm haitakiwi kuwepo madarakani!
 
ni ishara nzuri kwani kwa jimbo la kigamboni kuna wazaramo wengi wao wanaamini na kusikiliza mashehe ...CUF wamekuwa wa tatu
 
Viongozi wa kigamboni tumewapa kazi ya kufanya tathmini ya kisayansi kubaini sababu za kushindwa.
Lakini niwakumbushe kwamba uchaguzi mkuu uliopita hatukuwa na mgombea na cuf ndio walishinda. Kwetu sisi na hatua kubwa sana kuwa washindi wa pili.

Ila mlungula umemwagwa vijibweni sijawahi kuona. Jamaa wamenunua kura kama kawaida, hapo wasitegemee maendeleo yoyote!!
 
Hakuna kata ambayo pesa imemwagwa kama Kirumba jijini Mwanza lakini makamanda tumepasua...Tukubari tu Dar mwamko wa siasa bado sana.
 
Nakubaliana na wewe idumulwa, Dar bado sana, ni kati ya mikoa mitatu ya mwisho kukombolewa.
 
Dar mnatuangusha sana mtakuwa wa mwisho kwenye vita ya mageuzi haya !

Hongerani CCM
 
si mbaya sana, but kigamboni wanahitaji kukombolewa hakika!
Ukijumlisha kura za cdm na cuf, ccm haitakiwi kuwepo madarakani!

Kwa nini ujumlishe za CUF na Chadema na si CUF na wenziwao CCM! Kumbuka CUF wapo kuhakikisha Chadema haifanikiwi, kwao heri mshindi awe CCM.
 
dar mnatuangusha sana mtakuwa wa mwisho kwenye vita ya mageuzi haya !

Hongerani ccm

huku kumejaa mimtu mise""""ng na aki ya mungu namuomba sana mungu mipango ya ccm kutuuza ifanikiwe na tuuzwe bure ili tuondoke uku na njaa zetu tukafie mbele uko tuachane na maisha ya kinafiki.
Magufuli katutukana na katupandishia bei kwa niaba ya mafisadi wa ccm mimtu ya uku si ya action inaishia kuchekacheka tu km mimal:::ya ya ohio. Pambaaaaaaaaaaaaffffffffffff sana...
Eh mungu pokea maombi aya yetu ya kuuzwa uku kigamboni......
 
hata sisi tunayo haki kuchaguliwa, tumechaguliwa na tumeshinda.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom