CCM yapuuza tamko la Shibuda

Objective ya thread yako ni nini? Hueleweki nenda kwa waliokutuma na uwaambie kuwa umeshindwa kufikisha ujumbe!!
 
Taasisi yakutathmini utawala bora ilipokutana na CCM, Shibuda kama mwanachama wa hiyotaasisi, baada ya mazungumzo rasmi, alitaniana na Kikwete na akamwambia anatakakuwa mgombea binafsi na yeye kikwete amuunge mkono. Na ni kutokana na utani huondio maana kikwete kazungumzia mgombea binafsi. Watu wote waliopo karibuwanasema Shibuda hajazungumzia kugombea urais kupitia CHADEMA. Lakini kauli yaShibuda imepindishwa kuwavuruga wapinzani. Na BAVICHA kwa kukosa umakiniimeanza kupiga kelele kutokana na kile ilichosoma katika magazeti kama vilemagazeti yetu siku zote yanaandika ukweli. Sitegemei Shibuda kulifafanua hilikwasababu na yeye kama binadamu wengine ana-pride yake, kwanini BAVICHAHAWAJAWEZA HATA KUMPIGIA SIMU. Huu ni mfano wazi wa kukosa umakini. Nainawezekana huyo Heche ambaye CHADEMA wasiokuwa na upeo wanamsifia ni usalamawa taifa, kwanini kitu kilichozungumzwa katika maudhuwi ya utani akakipaishajuu kila mtu ajuwe, kwanini viongozi wa kitaifa wa CHADEMA hawajamdhibiti huyoHeche, hivi wanafikiri anasaidia chama au masilahi yao binafsi. Kuna ulakinikatika hili la kumuachia Heche (BAVICHA) amuandame Shibuda kwa kauli ambayohaijathibitishwa, na ulakini huo utafanya watu wakae upande wa Shibuda. Nimpango uliokosa umakini hata kama ilikuwa nia ya Mbowe kumuangamiza Shibudakisiasa. Why BAVICHA(CHADEMA) IS SO EASY TO BE MANIPULATED BY MEDIA AU CCM?Ingawa Shibuda hakuzungumzia kugombea kupitia CHADEMA bali kupitia mgombeabinafsi anayo haki ya kuhoji kuna ubaya gani yeye kutangaza nia ya kugombea. Hikini kitu kidogo lakini kimekuzwa kwa kukosa umakini, kwasababu mtu akitangazania sio maana yake jina lake litapitishwa na CHADEMA, lakini ukweli unabakiShibuda alizungumzia mgombea binafsi na sio kugombea kupitia CHADEMA, hayamengine yote .yametengenezwa na vyombo vya habari pamoja na BAVICHA kama sioCCM. Swala jingine la kujiuliza ni kwanini hao BAVICHA hawakupiga kelele paleNasari alipokosea na kusema kaskazini wajitenge au hiyo ndio sera ya CHADEMA,kauli ya Nasari ina hatari kwa CHADEMA kuliko kauli ya Shibuda kugombea uraiskupitia CHADEMA kama kweli Shibuda kasema. Upendeleo huu wa CHADEMA ndio utakaowafanya wasukuma na watu wakabila nyingine(WASIOTOKA KASKAZINI) wajione hawananafasi ndani ya CHADEMA. Ndio lazima msukuma awe makini na tabia hii ya upendeleo,haswa ukizingatia wanachekwa na wachaga kwa kuchagua wachaga mwanza. Wenzenu wakichagua upinzani wanachagua watu wa kabila zao nyie mnachagua wachaga na wakurya,mtaamka lini haswa ukizingatia wachaga wanawazarau. Wanataka huyo Shibuda wenu akiamrishwana wachaga awe kazi yake kusema ndio bwana mkubwa. Asilimia 15% ya idadi yawatu Tanzania ni wasukuma, hata kama idadi hii haitoshi kushinda urais sioidadi ya kupuuzwa na kukubali zarau, ulaghai na uongo wa wachaga wanaokujaJamii Forum kwa majina ya uongo kama Wambura, Masanja na Kadhalika.

Hapo kwenye red: Ndio maana na wewe umejiita Masawe ili tujue kuwa wewe ni Mchagga? Unajipendekeza kwao? Shame on you!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom