CCM yapoteza Wenyeviti wa mitaa Mbeya; wahamia CHADEMA

Na nyie chadema kueni makini na hawa watu wanaohamia kwenu from ccm, msije na nyie mkawa CCM part 2 mkaanza kujaza na kutunza mafisadi

Chadema haiwezi kuwazuia watu wenye nia nzuri na nchi na wanaounga mkono mabafiliko kujiunga na cdm, tunahitaji watu kuleta mabadiliko, ila angalizo lako ni la muhimu cdm iwe mathubuti kuthibiti tabia za kiCCM zisihamie chadema!
 
CHaDeMa ni chama mfu kinachotapatapa kikisubiri maziko yake tu, tena sio mbali mtakisahau.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro, Arusha..
Hii ndio mikoa pekee inayoifahamu taasisi wa Wakr...., na wakask...(CDM) hapa tanzania
Siku zote nafikiri kuwa wewe una matatizo ya akili nashukuru leo umenithibitishia.
 
Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro, Arusha..
Hii ndio mikoa pekee inayoifahamu taasisi wa Wakr...., na wakask...(CDM) hapa tanzania

tena ndiyo mikoa ya watu wenye akili zaidi ambayo kimaendeleo iko mbele!! Mkoa wa morogoro, lindi , pwani na mtwara iko nyuma sana na hao ndo wanaoimba kwa sana chama cha magamba!!
 
Kuna wale waliosema ni upepo tu utapita, upepo huu unawakosesha wakazi paa za nyumba zao,maana unaezua kweli kweli. Muda si mrefu ccm tutawaachia majengo.
 
Naona maneno ya Sugu yanatimia lol..

Poleni Magamba, M4C with no apology.
 
CHaDeMa ni chama mfu kinachotapatapa kikisubiri maziko yake tu, tena sio mbali mtakisahau.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

By the time tunakuja kukisahau, viongozi weeeeengi wa CCM watakuwa wameshahamia huko. Hata wewe utakuja tu siku utakayoelimika. Kwa sasa ni ngumu kutuelewa
 
Rejao inaoneka we ndy wale wale mnaokaa kule uhindini kwenye milango ya misikiti mkishinda kuomba omba, ndugu yangu nina amini we ni mtanzania mwenzangu najua umekaririshwa kuhusu udini, ila hujijui. ILa chama ambacho kitakuondolea hiyo kasumba si kingine ni CDM pekee. "KASOME NA ACHANA NA HABARI YA KUFUGA MAJINI"
 
Chadema Ilianzia Kanisani!! Na itaishia Kanisani! Haiwezi kuingia Ikulu!
 
Naona maneno ya Sugu yanatimia lol..

Poleni Magamba, M4C with no apology.

Mkuu hiyo siginecha yako natamani kuitia ndani ya bahasha nimtumie 'Died'stone Lusinde, yule jamaa asiye na aibu wala haya ya kuazima aliyetuporomoshea mitusi jukwaani kule Arumeru ambako MAGAMBA yalibanduliwa bila maji moto.
 
Wakristo ndio waliotufikisha hapa! Akina Ben mkapa wameuza mashirika yetu, nyumba zetu, mashamba yetu, kina chenge wameingia mikataba ya kuuza nchi yetu, akina Makinda vilaza wakubwa wanazuia haki isitendeke pale bungeni! TRA wezi, hawakusanyi kodi ipasavyo, Nenda bodi ya Pamba, uozo Mtupu, ATCL na mkurugenzi wake ulaji tu!! Hatuwataki tena, mnatafuna nchi bila huruma!!
 
Back
Top Bottom