CCM yapoteza Wenyeviti wa mitaa Mbeya; wahamia CHADEMA

Mfa maji mkubwa wewe.Mdini Mbaguzi na tapeli namba moja
Mbona kinawauma sana? CDM kuna hizo elements nilizozitaja. Kama hazipo ungeignore, as long as zipo umeshindwa kuvumilia ikabidi ubwatuke. Jitahidi kubalance chama chenu
 
Na nyie chadema kueni makini na hawa watu wanaohamia kwenu from ccm, msije na nyie mkawa CCM part 2 mkaanza kujaza na kutunza mafisadi

sikubaliani na wewe Kwan tz ikikuwa ya chama kimoja so wote walio wanasiasa % kubwa walikuws wana ccm.
Kuhamia wahamie ILA tujipange namna ya kuwadhibiti!
 
Yeah mkuu, ndio inanyoniweka mjini. Unataka kunijoin? Kama unahitaji kufanya biashara na mimi nicontact through rjamadary@yahoo.com

una biashara wewe?endelea kuwalamba nyayo magamba kwani ndo wanaokuweka mjini,hofu yangu ni kukupoteza hpa jamvini pndi wakikutosa
 
una biashara wewe?endelea kuwalamba nyayo magamba kwani ndo wanaokuweka mjini,hofu yangu ni kukupoteza hpa jamvini pndi wakikutosa
Mi siishi kwa kutegemea mgongo wa mtu au kitu fulani. Ndio maana nakuwa huru kutoa maoni yangu hapa.
 
Mbona kinawauma sana? CDM kuna hizo elements nilizozitaja. Kama hazipo ungeignore, as long as zipo umeshindwa kuvumilia ikabidi ubwatuke. Jitahidi kubalance chama chenu

hatuhitaji ushauri wako wewe,kawashauri kwanza magamba ambao kila leo wanapoteza mwelekeo
 
Mi siishi kwa kutegemea mgongo wa mtu au kitu fulani. Ndio maana nakuwa huru kutoa maoni yangu hapa.

Sio maoni yako,sema mawazo/mtazamo wa mafisadi unaowatumikia,hata hvyo hongera kwa uzalendo wako kwao
 
Karibuni sana wana wapotevu, tushirikiane kujenga safina ya kwenda kwenye ukombozi wa mtanzania.
 
Sio maoni yako,sema mawazo/mtazamo wa mafisadi unaowatumikia,hata hvyo hongera kwa uzalendo wako kwao
As long as nipo stress free na maisha yanasonga hata uniiteje kwangu haijalishi. Huu siyo muda wa kushangaa shangaa. Whenever kuna opportuinity, we itumie tu!
 
Na nyie chadema kueni makini na hawa watu wanaohamia kwenu from ccm, msije na nyie mkawa CCM part 2 mkaanza kujaza na kutunza mafisadi

cku zote mdhambi anapo2bu hupokelewa ktk kundi la wateule na huwekwa karibu ili asahau maovu yote na awe mwana wa Mungu! Tnahtaj hao wachafu ili 2wasafshe wafanane na sisi! Lengo nkpata decent state.
 
Makamanda ila pia somo linahitajika hku tanga mana ndio kangome kao inabidi kavunjwe na huyu maji marefu alieishia darasa la saba atoke hatufai hana point za kutetea jimbo hko bungen
 
Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro, Arusha..
Hii ndio mikoa pekee inayoifahamu taasisi wa Wakr...., na wakask...(CDM) hapa tanzania
siku mwenyewe ukiamia kwenye ukweli ukiachana na majambazi ndio utafahamu kuhusu udini na north...dare to come and u will enjoy been in right part,pia usije mwenyewe come with ur family
 
WENYEVITI wa mitaa ya Ilemi na Ilolo Kati, Wilaya ya Mbeya Mjini wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wamejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Wanasiasa hao Ngamba Ngamba wa Ilolo Kati na Joseph Mbele wa Ilemi, walirudisha kadi za CCM na kujiunga na CHADEMA jana katika mkutano uliofanyika katika Kata ya Sinde jijini hapa.

Mbali na wenyeviti hao makada wengine watatu wa chama hicho akiwamo Atusekelege Asubisye, ambaye ni balozi katika Mtaa wa Ilolo Kati nao walijiunga na CHADEMA, kwa kile walichodai ni kuchoshwa na CCM yenye ahadi nyingi zisizotekelezeka.

Hawa wote walishapewa barua za karipio na chama wilayani mbeya mjini, wameona HERI FEDHEHA KULIKO LAWAMA NDIPO WAMEKIMBILIA CDM. CDM mtatishia kupokea MAKAPI watu makini wanabaki CCM kimbilio la wanyonge na watu waadillifu
 
Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro, Arusha..
Hii ndio mikoa pekee inayoifahamu taasisi wa Wakr...., na wakask...(CDM) hapa tanzania

Catholic missions + CDM through former TEC Secretary General Dr. Slaa showing togetherness in the municipal councils of Arusha, Moshi Urban, Mwanza, Mbeya and Songea
 
Rejao that's too low. Utter baseless and disrespectful accusations towards citizens of Tz. CDM is only getting better and stronger. You will soon unvoluntarilly add another several regions to your flimsy list
 
CDM mtatishia kupokea MAKAPI.....

....watu makini wanabaki CCM kimbilio la wanyonge na watu waadillifu

Mtawaita kila jina lakini ukweli hautabadilika!

Kwamba ccm ni chama cha wanyonge na waadilifu hiyo ilikuwa enzi za mwl na sokoine, sio leo tena!
 
Back
Top Bottom