CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

Umenichanganya sana kwa heading yako, lakini baada ya kuusoma Uzi nimekuelewa. Ccm haiwezi kuunguruma, sana sana itakuwa imekoroma tu ambayo ni dalili ya kukata roho.
 
John Pombe Magufuli aliyepiga kampeni kwa Kisukuma lugha ambayo wanaielewa
Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.
Kwa vile kila zama na zama zake, Pumzika kwa Amani Magufuli wetu huko ulipo.
RIP JPM
Paskali.
 
Pasco mkuu, ulikuwepo Geita leo kwenye maadhimisho ? Ningependa kuona ukiwauliza maswali magumu magumu wale waliokuwa wateule wa Magufuli ambao bado wamesalia mpaka sasa kwenye nafasi mbali mbali serikalini😊
 
Baada ya John Pombe Magufuli kupitishwa kuwa mgombea wa CCM, nimeukumbuka huu uzi, nimemkumbuka John Pombe Magufuli alivyokuwa akipiga kampeni kwa lugha ya Kisukuma!.

Ndugu zangu wapinzani, wakati mnatafakari mtamleta nani wa kushindana na Magufuli kwenye urais, pia jiandaeni kuangalia mtakavyo yaokoa majimbo yanayoshikiliwa na upinzani kwenye kanda hii ya Ziwa, kwa nilichokishuhudia kwenye kampeni hizi za kanda hii, uchaguzi wa mwaka huu, Magufuli atayarudisha CCM, majimbo yote yanayoshikiliwa na wapinzani!.

Ila pia Tanzania tujiandae kushuhudia ukabila wa ajabu Magufuli akiishaingia Ikulu yetu. Kama kwenye kampeni NEC imepiga marufuku kuhutubia kwa kutumia lugha za makabila, lakini Magufuli amehutubia kwa Kisukuma, ni uthibitisho tosha huyu jamaa ni mkabila, hivyo subirieni tutakuja kukumbushana

Pasco

Back
Top Bottom