CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

Tushangileeee, ila tujiandae na kulia pia. Mimi mpaka sasa hivi siamini kama sisiemu watawatangaza CHADEMA washindi. Hilo Msahau si mnajua statistics zao kuwa 80% ya watanzania wapo vijijini na maana hiyo ni kwamba 80% ya wanabusanda wapo vijijini hii strategy wapinzani walijisahau muda mrefu kuwa CCM ina overstate population vijijini na ku understate mijini.

Matokeo rasmi ni kwamba CCM itakuwa imeshinda. Mimi bado sijaamini mpaka CCM(kupitia kada wao msimamizi wa chaguzi) watangaze kuwa CHADEMA Imashinda
 
Matokea ya uchaguzi jimbo la Busanda, yameanza kutoka ambako katika miji mikuu yote ya jimbo hilo, ni Chadcema inaongoza na kuiacha CCM kwa mbali wakati huko vijijini ni CCM inaongoza.

Shamra shamra za kusherehekea ushindi ni mijini kwa kuwafanya wafuasi na washabi wa Chadema kufurika mitaani kusherehekea ushindi hali inayoashiria wakijaambia matokeo ya jumla sio wao, mijini kutakuwa hapatoshi na hakukaliki.

Mpaka sasa Mji mkuu wa Busanda ni Chadema wakati kata maarufu ya Nyarugusu ni CCM.

Nitawaletea matokeo ya kata kwa kata kadri ninavyoyapata.
matokeo yenu ni mazuri bt yanahitaji data,nyarugasu ccm imeongoza kwa kura 600
 
Nimejaribu kutafuta statistics za busanda sizipati, ila za geita zinaonyesha kuwa asilimia 12% tu ya watu ndio walioko mjini na iliyobaki ni vijijini.

Ili upinzani kushinda inabidi ishinde mjini na karibia nusu ya vijijini. Lets keep our fingers crossed!
 
Tushangileeee, ila tujiandae na kulia pia. Mimi mpaka sasa hivi siamini kama sisiemu watawatangaza CHADEMA washindi. Hilo Msahau si mnajua statistics zao kuwa 80% ya watanzania wapo vijijini na maana hiyo ni kwamba 80% ya wanabusanda wapo vijijini hii strategy wapinzani walijisahau muda mrefu kuwa CCM ina overstate population vijijini na ku understate mijini.

Matokeo rasmi ni kwamba CCM itakuwa imeshinda. Mimi bado sijaamini mpaka CCM(kupitia kada wao msimamizi wa chaguzi) watangaze kuwa CHADEMA Imashinda

Maneno yako mkuu yana ukweli mwingi, hasa ukizingatia mafya walikuwa kazini kuhakikisha ushindi, hadi waziri mwenye dhamana kakamatwa na shahada, what a shame!
 
Tushangileeee, ila tujiandae na kulia pia. Mimi mpaka sasa hivi siamini kama sisiemu watawatangaza CHADEMA washindi. Hilo Msahau si mnajua statistics zao kuwa 80% ya watanzania wapo vijijini na maana hiyo ni kwamba 80% ya wanabusanda wapo vijijini hii strategy wapinzani walijisahau muda mrefu kuwa CCM ina overstate population vijijini na ku understate mijini.

Matokeo rasmi ni kwamba CCM itakuwa imeshinda. Mimi bado sijaamini mpaka CCM(kupitia kada wao msimamizi wa chaguzi) watangaze kuwa CHADEMA Imashinda
Mkuu taarifa ya Population ktk maeneo ya geita yako wazi kabisa vijijini hakuna watu na Katoro peke yake inaweza kuchukua hesabu ya vitongoji vyote by population hata bila kutumia hesabu ya wapiga kura...
Mijini ktk mikoa na wilaya zote inaongoza kwa population tena unaweza jumlisha vijiji vyote visiweze kufikia mji mmoja tu - under mixed type..Bofya hapa
 
Ngoja niwapigie hesabu za uchaguzi hapa:

a. Ili Chadema ishinde, inahitaji kushinda zaidi ya asilimia 60 za kura za mjini, na kushinda si chini ya asilimia 40 za kura za vijijini.

b. Ili CCM ishinde inahitaji kushinda zaidi ya asilimia 70 ya kura za vijijini na kati ya asilimia 30 na 40 ya kura za mjini.

Kama kura hizi zitakuwa ni kati ya Chadema na CCM tu na CUF au upinzani mwingine hawapati kura zaidi ya asilimia 5 basi Chadema itashinda (kati ya 50-55). Endapo upinzani wengine watapata zaidi ya asilimia 5 basi CCM watashinda kati ya asilimia 55 na 60.
 
Kwa utabiri wangu ni kwamba sasa hivi kuna kikao cha dharura, kinachowahusisha CCM, polisi na msimamizi wa uchaguzi kuwa polisi wajipange kudhibiti watu wasifanya vurugu, msimamizi atangaze CCM imeshinda kwa ushindi finyu, 48% Chadema 47.3% CUF 2.7% na DP 2%
 
Mwanakijiji,
Je tunazo takwimu za daftari la waliojiandikisha kupiga kura kwa kila kata na vitongoji vya Busanda?..hatuna!..
Hizi takwimu tunazojadili hapa na guess work na kupotoshana. Asilimia 70 ya vijijini inaweza kuwa only 10% ya waliojiandikisha mjini..
 
Tuweke pia kumbukumbu sawa!
Huu ni uchaguzi muhimu sana kwa upinzani, na kwa hakika CCM ikishindwa watakuwa wamepata msg nzito ambayo hawajaipata tangu vyama vingi vianze. Kumbuka kwenye chaguzi zote ndogo CCM haijawahi kupokonywa jimbo ililokuwa inaongoza..
 
Mmmmh, mimi naanza kuona CHADEMA imeshindwa, kwa technoligia iliyopo sasa na kwa wanamageuzi wetu ninao wajua wangekuwa wamezama hapa tayari.

Kitendo cha Dr. Sxxx na Mh. Zxxo kutosema lolote mpaka sasa kuna kitu.
 
Mkuu taarifa ya Population ktk maeneo ya geita yako wazi kabisa vijijini hakuna watu na Katoro peke yake inaweza kuchukua hesabu ya vitongoji vyote by population hata bila kutumia hesabu ya wapiga kura...
Mijini ktk mikoa na wilaya zote inaongoza kwa population tena unaweza jumlisha vijiji vyote visiweze kufikia mji mmoja tu - under mixed type..Bofya hapa

Hawa jamaa hawakosi sababu. Ila kilichopo hapa ni kwamba Jamaa wamejipanga na wameshalipwa posho zote za kuhakikisha CCM wanashinda, na kwa wao matokeo kuja tofauti ni kwamba wameshindwa kazi, je ni nani atakubali kupoteza kibarua chake na jua kali la Bongo!. Huu uchaguzi sio wa Mbunge ni referendum ya 2010 ya kujustify wizi wa kura kwa wahisani. Na kuonesha kuwa kelele wa wapinzani za ufisadi si lolote kwa wananchi. Tusubiri, hii ngoma inapelekwa CCM kwa vyovyote!
 
Ambapo hiyo mitaa saba inaongoza kwa jumla ya kura ngapi mpaka sasa? mbona za Nyarugusu umeweka?
Ni ngumu kujua data zote lakini mpaka sasa wakati wanaendelea kuhesabu chadema inaongoza kata mbili tu za katoro na kata anayotokea mgombea wa chedema....jumla ni kuwa ccm ina kura elfu kumi mpaka sasa na chadema wako elfu saba na mia sita
 
Tatizo ni kuwa Busanda hakuna umeme hivyo mawasiliano kuwa magumu na pande zote. Dr. Slaa hapatikani, Zitto anapatikana lakini hapokei, Mnyika hapatikani, Mbowe hapatikani na CCM wanapatikana... Nimepata kuongea na mwenyekiti wa CCM mkoa anasema wana uhakika wa ushindi.

Najaribu kumtafuta Zitto tena
 
Back
Top Bottom