Ccm yandaa kadi feki za chadema kutumika leo

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
6,143
6,992
Katika maadhimisho ya miaka ya kuzaliwa kwa CCM kuna mkakati wa kurudisha kadi za CHADEMA unaoratibiwa na idara ya propaganda ya CCM kuonesha kama ni wanachadema waliochoshwa wanarudisha kadi
 
Wapuuzi sana, hivi bado wana hayo mawazo ya zamani namna hiyo? ccm itakufa tu na huu ugonjwa wa akina Mwakyembe na Lowassa hautawaacha kamwe,
 
Kumbe ni thelathini tu ndio wame'renew' maana ndio waliokabidhiwa kadi mpya.
 
Back
Top Bottom