CCM yanaanza kuchanganyikiwa na kasi ya CDM, yajipanga kuihujumu.

ushauri wangu kwa ccm,huwezi ukatatua tatizo bila utafiti hata ule mdogo tu,mm nilijionea kuwa vijana wetu hawakubali tena yanayofanyika na ccm na sasa wameisha influence lika jingine yaani wazee kitu ambacho ccm wamechelewa na hasa cdm wanachokifanya cha kutoa elimu kwa wananchi .elimu ni hazina duniani kote hata maandiko ya mungu kitabu cha biblia kinasema shika sana elimu ,usiache elimu iende zake.sio kitu kipya yapo na yamenenwa, myonge mpe ufahamu tu kila kitu utafanikiwa ,unataka kusema ccm hawakujua hili au walikuwa wamelala kwa wizi wa pesa na vyeo wanavyopeana.mwisho kuzuia mikutano kwa polisi ni mkakati feki kwani ni acccelation ya kuiangusha ccm bado la mhimu ccm warudi nyuma wajipange wasione aibu,na hata uchaguzi wa raisi ujao wasiigie itakuwa aibu kwao
 
Hamna marefu yasiyokuwa na ncha. Tena ni heri mwanzo mbovu kuliko kuliko mwisho mbaya. Zama za CCM ZIMEFIKA UKINGONI!!! Ccm inakufa kifo kibaya
 
CCM wanajihadaa wenyewe kwa kuacha ukweli na kukimbilia uongo ambao hauwasaidii.

Waache fitna muda wa fitna waachie Simba na Yanga lakini siyo kwenye siasa, siasa inahitaji utekelezaji tu.
 
Back
Top Bottom