Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,892
- 32,308
Tusi gani? ukimuita mtu kwa wadhifa wake unakuwa umetusi?
Mkuu, kama ndio hivyo mnalalamika ni wakati watu wameitwa kwa nyadhifa zao! kumbe kampeni meneja wa CCM yupo sahihi.
Tusi gani? ukimuita mtu kwa wadhifa wake unakuwa umetusi?
Kumbe siyo shoga? hebu tukumbushe Lema aliyasema maneno haya akiwa kwenye mkutano upi, ulifanyika lini saa ngapi? na alisema maneno gani? nimekuwepo kwenye mikutano mingi sana ya chadema lakini sija wahi kusikia akiasema Sioi ni Shoga...Ila kuna wimbo huwa anaupenda sana kuuimba" Mtoto huyu vipi, hashughuliki, mtoto siyo riziki".....maneno haya yako kwenye wimbo mmoja wa Solo Thang
Mke na dada ni HATARI zaidi kwani kuna jamaa linaitwa Mwigulu Nchemba ni hatari sana, linaKULIA mkeo hivihvi, muulize kada wa Igunga. Jamaa sasa lina style mpya ya kulala na midume minne...Pale hakuna sera ni matusi mwanzo mwisho mkuu yaani kama unamtoto/Mke/dada usithubutu kumruhusu akaenda kwenye mkutano wa CCM
Wewe hukuwepo kwenye tukio, kitu gani kinakufanya utangaze ujinga wako huu?Helkopta haikupita pale kwa bahati mbaya ulikuwa ni uchokonozi wa kisiasa.
Tanzania Daima ni gazeti la upande mmoja wa chadema habari zake zina vionjo vya mashaka
Matusi ni moja ya siasa ya vyama vyote hakuna jipya
Katika hali isiyo ya kawaida mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ( CCM ) Sioi Sumari ulitawaliwa na maneno ya matusi na vijembe dhidi ya viongozi wa CHADEMA.
Hali hiyo ilijitokeza jana wakati mgombea wa CCM , Sioi Sumari, alipokuwa akihutubia jukwaani aliporwa kipaza sauti na Meneja wa Kampeni hizo, Mwigulu Mchemba, ambaye alianza kumshambulia Katibu Mkuu wa CHADEMA , Dk. Willibrod Slaa kwa matusi akimwita kichaa.
Hatua hiyo ilitokana na kitendo cha helikopta ya CHADEMA kupita juu kwa mbali na ulipokuwa ukifanyika mkutano wa CCM, na kusababisha wananchi wengi waliokuwa kwenye mkutano huo kushangilia kwa kutumia salamu ya CHADEMA ya Peoples Power huku wakionyesha vidole viwili juu.
Hata hivyo ilibainika baadaye kuwa waliokuwa ndani ya ndege hiyo ni Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe , mgombea wa CHADEMA, Nassari, na kiongozi wa kampeni hizo Vicent Nyerere ambao walikuwa wakielekea kwenye mkutano wao wa mwisho eneo la Maji ya Chai.
Naye mbunge wa Korogwe Vijijini Stephen Ngonyani aliwalalamikia makada wa CHADEMA kwa kumsakama kuwa ni mganga wa kienyeji wakati yeye ni muumini mzuri wa Kanisa la Anglikana.
Source: Tanzania daima 27/03/2012