CCM yamshauri Kikwete kuhusu CHADEMA

pengine chadema wamemuwahi kumuandikia JK labda tangu awali alikuwa na wazo la kuzungumza na vyama vyote vya upinzani
 
vyama vingine ni wachumba wa CCM lakini mchumbiaji ni CCM je chadema wanakwenda kutafuta nini kwa mchumba au mume wa vyama vingine? watashikwa ugoni au watachumbiwa.
 
mara mumpuuze Jk, mara mlalamike kama vile hamtaki kukutane naye kisha mnalilia kukutana naye peke yenu. kweli Jk ni Rais wa wote kashika mpini

Kwani alivyojinyakulia urais mnafikiri hiyo position ni ceremonial?
Wewe unaleta ushabiki wakati unajua yanayolengwa na huu mkutano nayo yanawakilisha matakwa ya mamilioni ya watanzania. Jambo hili ni mtego mkubwa kwa serikali inayotuongoza watanzania wote, hili Jambo si la ushindani wa vyama kama wengine mnavyofikiria.
 
kuna watu humu ni vilaza tu bongo zime choka kweli. Inamaana vyama vingine huku chini mitaani havina wafuasi? Pamoja na kupata cuf kula laki sita na wa bunge wawili na madiwani lukuki na wenyeviti wa mitaa wengi kuliko hata cdm. Maana chama cha pili kuwa na wenyeviti na wajumbe wamitaa wengi ni cuf baada ya ccm. Walichokifanya ccm ni sa hihi penye wengi haparibiki jambo. Wale waliopo CUF, UDP, TLP, NCCR, CDM NA CCM, ni vyama vyenye makundi ya watu nyuma pia kuna asasi mbalimbali zina makundi ya watu na wenyewe pia washirikishwe.
 
Tunaambiwa CCM kafunga ndoa na CUF na vimada TLP, UDP na wengine. chadema anampa sharti mume wa vyama vingine kwamba waondoke nyumbani chadema atakapofika hii imekaaje? unawezaje kumpa sharti mume wa mtu kwa mkewe?
 
jindanganyeni kwamba Chadema wamemtega Jk hata Jk kawatega chadema..... wametegana hawa?
 
Wanataka mke wao CUF, na nyumba ndogo TLP na UDP pia wawepo.
cuf mke wa ccm kama mnavodai cdm wote,ila nyie cdm mnaojitongozesha kwa jk je mnataka kujiozesha kwa nguvu kwa jk na ccm au tuwaeleweje?ama kweli nyani haoni kundule.
 
chadema wanakwenda kufanya nini kwa mume wa mwenzao? isije ikawa ile ilikuwa barua ya kukubali posa?
 
handsome Jk kawaposa chadema aaaaah wamenasa baada ya kugoma kuolewa. mahari ya chadema inaweza kuwa kubwa hata kushinda ya CUF
 
Kikwete anatakiwa ajaribu ku act as the president, not the magambaz chairman!

Walioandika barua chadema, halafu hao wapumbavu wa magamba wanapendekeza eti akutane na vyama vyote vya upinzani wapi na wapi!
Nadhani wanapendekeza hivyo kwa sababu vyama vingine vya upinzani ni warembo wa ccm!

Umeona hee!
 
cuf mke wa ccm kama mnavodai cdm wote,ila nyie cdm mnaojitongozesha kwa jk je mnataka kujiozesha kwa nguvu kwa jk na ccm au tuwaeleweje?ama kweli nyani haoni kundule.

Babako ni mjumbe wa nec? Mawazo yako inaonekana ulikuwa unaifanyia kaz kampuni ya rich..monduli.!! Sasa unafanyiaga kazi wapi?
 
chadema wanakwenda kufanya nini kwa mume wa mwenzao? isije ikawa ile ilikuwa barua ya kukubali posa?

UTAWATAMBUAJE WALA NCHI? Ni kwa mawazo kama yako. UNANEEMEKA NA JASHO LA WANANCHI. Kwani unaona kuna umuhimu wowote wa chadema kuonana na rais wa taifa. Aliyechaguliwa na usalam wa taifa na NEC yake.!! Ndiyo maana ukisikia wa2 tunalalamika maisha magumu wewe unashangaa, magumu kivp kwa kuwa huoni shida yoyote. Ndiyo maana umekaa hapo ukipost madudu tu.
 
Waliomba kukutana na mh Rais ni CDM,na si vyama vingine vya upinzani huo ushauri waliompa Jk si mzuri hata kidogo!
 
Jamani CCM kushauri siyo kitu kibaya,maana mwenye uamuzi wa mwisho ni rais mwenyewe, ambaye kimsingi amewakaribisha CHADEMA Ikulu.Hivi hapa tatizo ni nini, au watu wanataka kusikika tu, tuwe na uvumilivu wa kumsikiliza mwenzako na sio ku pre judge ya kuwa CHADEMA tu ndio wenye uwelewa wa kila jambo kila wakati.
mimi nimeelewa na wewe pia nimekuelewa na pia nimegundua kuwa wewe hujawaelewa wachangiaji wa thread hii.
kinachozungumzwa na wanajamii wengi ni kuwa CDM wameomba kuongea na raisi kwa sababu wanajambo wanataka kumwambia raisi wetu; lakini ccm wanamwambia raisi aongee pia na tlp, cuf kumbuka cuf wala tlp hawajaomba na kwa maana hiyo hawana jambo la kumwambia raisi na wala raisi hajaomba na kwa maana hiyo hana jambo la kuwaambia cuf sasa wakikutana ccm ndio itaongea kwa niaba ya cuf au tlp? kama ccm inawezo wa kufikili wangefikilia nao kuomba kuonana na raisi na sio kuwazungumzia wenzao ambao nao wanamidomo yao ya kuzungumza.
sasa naamini kuwa vyama vingine vya siasa ni ccm b na ndio maana ccm wamekuwa wasemaji wa vyama hivyo.
 
Cdm wanatafuta ni jins gan ya ku2kwamua wananch na wao wenyewe kiuchumi. Ili yamkini 2ondokane na kutembeza bakuli, afu wengine wanaona wanatafuta upuuzi mnaouwaza.!! Katiba mbovu ndiyo inasababisha kuwepo huko kulindana kwa viongozi wa juu. Huku walalahoi tunakodoa mimacho tu, wao WALANCHI wanapeta tu. Kweli WATZ tukipewa ya ku2saidia kwa cku 1 2, 2nalizka, na kuwaona wengine MABWEGE na wac ojua madili. Nawapongeza wapiganaji wa ukwel wa cdm. Na wala co wale wa akina bendera fuata upepo. Maana najua wamo wengi ambao ni keng. Ambao ikifika wakat wa kuchukua maamuz magum watajiweka pembeni. Mungu awatie nguvu msikate tamaa.
 
Back
Top Bottom