CCM yamgwaya Dk. Slaa

Na Chalila Kibuda

SIKU moja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kumfungulia kesi Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Nape Nnauye, CCM imesema haina mpango wa kukishtaki chama hicho kutokana na kudai kinaingiza silaha nchini. Akizungumza na Tanzania Daima jana kwa njia ya simu, Nape alisema chama hicho hakitafanya hivyo kwa kuwa kinaendelea kukijenga chama.

“Hutuendi mahakamani kuishtaki CHADEMA kwa kile walichodai kuwa CCM inaingiza silaha nje ya kanuni zilizowekwa na nchi,” alisema Nnauye.
Hivi karibuni, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Salaa, akiwa mkoani Morogoro alinukuliwa akisema CCM imeingiza silaha nchini bila kibali, ili zitumiwe na vijana wao kukabiliana na wapinzani.

Nape anafikiri hatua hiyo itamsaidia kuwafanya CDM wamuonee huruma katika kesi iliyofunguliwa dhidi yake. the chap must face the full wrath of the law ili ajifunze kuwa anaengage brains kabla hajaropoka.
 
Inamgwaya kwa sababu Dr. Slaa aliibua madai ya kweli, na kwa kuwa Nape ndio "msemaji" wa CCM badala ya Mukama ametoa tamko la Chama. Kwa kauli yake hiyo, huko ni kumgwaya mleta hoja (DR. Slaa).
 
Iwe iwavyo, kwani kufadhiliwa ni dhambi? Hivi unaifahamu CCM vizuri kweli? CCM ni chama makini kwa wizi kuanzia kura, kodi, madini yetu, kujilimbikizia mali, kutorosha fedha za walipa kodi nje ya nchi, achilia mbali zile za Uswisi, wauaji etc etc mengine ongezea mwenyewe hapa....
 
Kwa maonin haya nimeamini chadema ni genge la matahaira. Hivi kweli mtu na akili zake atahangaika na kauli za slaa?? Alikwisha dai anataka kuuwawa halafu akadai eti kuna kontainer zima la kupigia kura kutoka afrika ya kusini liliingia nchini. Sasa hata mtoto wa chekechea hawezi kuamini eti ccm iagize silaha. Hizo silaha zina kaa wapi kama si utahaira. Huyu babu kweli kwa kauli ya nape anazeeka na anapoteza kumbukumbu. Juzi tu alijikanyaga huku anamshtaki nape kwa kusema chadema inafadhiliwa kwenye kikao ambacho pia anakili chama cha kikristo cha ujerumani kinawafadhili. Ni chakubanga tu huyu. Kama ingekuwa cuf imefadhiliwa na chama cha waislamu ungesikia kelele za maaskofu itv. Unaweza kuachana na kichaa watu waone tofauti lakini kutokuburuzwa mahakamani hakumaanishi kuwa unanga umehalalishwa
hamna pakutokea M4C Ime IMEWASHIKA maana hata sera yenu ya ''vitu vizito vinavyorushwa toka mbali'' imefeli NA DOA YENU NA MDEBWEDO ndo ina anza kuyumba nendeni mka inusuru.
 
Kwa maonin haya nimeamini chadema ni genge la matahaira. Hivi kweli mtu na akili zake atahangaika na kauli za slaa?? Alikwisha dai anataka kuuwawa halafu akadai eti kuna kontainer zima la kupigia kura kutoka afrika ya kusini liliingia nchini. Sasa hata mtoto wa chekechea hawezi kuamini eti ccm iagize silaha. Hizo silaha zina kaa wapi kama si utahaira. Huyu babu kweli kwa kauli ya nape anazeeka na anapoteza kumbukumbu. Juzi tu alijikanyaga huku anamshtaki nape kwa kusema chadema inafadhiliwa kwenye kikao ambacho pia anakili chama cha kikristo cha ujerumani kinawafadhili. Ni chakubanga tu huyu. Kama ingekuwa cuf imefadhiliwa na chama cha waislamu ungesikia kelele za maaskofu itv. Unaweza kuachana na kichaa watu waone tofauti lakini kutokuburuzwa mahakamani hakumaanishi kuwa unanga umehalalishwa

unahaki ya kutetea lkn mbona mengi amesema na kila wakati walisema watampeleka mahakamani mpaka leo hawajampeleka au watampeleka wakiondoka mahakamani? Mfano Rhidhiwan kapotelea wapi si kaogopa
 
nape anaujua mziki wa CDM kwa sasa ameshasituka maana angeaibika hawa jamaa hawabahatishi bali wanafanya uchunguiz wanapata information kamili ndio wanaongea
 
Nape na ccm wametumia Akili sana kuikataa mahakama sio sababu watashindwa kununua majaji au mahakimu...ni sababu hao majaji au mahakimu hawata kubali kununulika kutokana na ushahidi uliopo..hawa jamaa huwa hawaropoki Bali wanadhibitisha na ushahidi wa ziada kamwe sinta amini wala kushawishika eti Dr. Slaa PHD ya darasani sio ya kupewa Kama tunzo tena anaye jua anawaeleza Hoja wasomi Kama yeye au zaidi yake na yeye akiwa anatambua Hilo alafu akaropoka ila alivosema Nape na ccm hawatofungua kesi dhidi ya CDM au Dr ni kukijenga ccm kwani kwenda mahakamani ingekuwa ni kuizika ccm msimbeze nape Bali mpongezeni nape kwa kuficha aibu ambayo ingeifilisi ccm...hongera nape umechukua maamuzi magumu
 
Nadhani hakuna haja ya wanasiasa kukimbilia mahakamani. Jibuni hoja tu mkianza huu mtindo kesi mahakamani zitarundikana bila sababu ya msingi. Kuropoka ni sehemu ya siasa. Kudhibitisha ni hatua nyingine. Ukiona mtu anakimbilia mahakamani jua ukweli umemchoma anatafuta pa kujisafisha. Nani asiyejua kwamba CHADEMA inafadhiliwa?? Nashauri wafute tu hiyo kesi isije ikawaumbua zaidi na kuwazibia riziki huko Conservative Union na kwa wakina RENAMO na Democratic Union of Africa. Wapo vijana wanaopata mafunzo kila mwaka kwenda nje ya nchi kupitia CHADEMA kama motisha wa kupata vijana wa elimu ya juu sasa haya yoote si vibaya na yapo kwa hiyo CHADEMA kioneshe ukomavu na kukubali kukosolewa

Almasiomary: Suala la kufadhiliwa kwa vyama vya siasa ni kawaida kabisa hata CCM inafadhiliwa. Labda tuseme kuwa Tanzania tunataka kuanza utamaduni mpya wa kuweka wazi ni nani anafadhili chama gani cha siasa. Jambo ambalo ni zuri tu. Lakini CDM kufadhiliwa si ajabu. Tena suala la kusema eti CDM wanafadhiliwa na vyama vya kristo ni ujinga kwa sababu hata Tanzania kama nchi ufadhili mkubwa unatoka Jumuia Ulaya. Je, hii inamaanisha kuwa Tanzania ni mfumo kristo? Si kweli.
 
Kama sikosei JK kasoma shule za St. Kristo na ukichunguza zaidi utakuta ata mufti kasomea St. Kristo huu ni upuuzi wa kupuuzwa tumeshindwa kudai uhuru kutoka ccm tunagawanywa na propaganda za udini why?? Kama ni dini Mimi ni mwislam na ninakiri ziko dini nyingi sana tz na makabila zaidi ya 130 hatutokubali na haitowezekana kutengwa kiimani, itikadi wala ukanda mpango huo mwenye kuupanga hakupata Ushauri vizuri jaribuni plan B.

Almasiomary: Suala la kufadhiliwa kwa vyama vya siasa ni kawaida kabisa hata CCM inafadhiliwa. Labda tuseme kuwa Tanzania tunataka kuanza utamaduni mpya wa kuweka wazi ni nani anafadhili chama gani cha siasa. Jambo ambalo ni zuri tu. Lakini CDM kufadhiliwa si ajabu. Tena suala la kusema eti CDM wanafadhiliwa na vyama vya kristo ni ujinga kwa sababu hata Tanzania kama nchi ufadhili mkubwa unatoka Jumuia Ulaya. Je, hii inamaanisha kuwa Tanzania ni mfumo kristo? Si kweli.
 
we ndio taahira, kama hahangaiki mbona alidai kwenda mahakamani? ccm haina jipya tena zaidi ya kufuja, ubunifu zero wamebaki ku react kwa kile chadema wanafanya, na watakimbizwa kiwanja chote huku mpira hawaugusi! gwanda endeleeni kuwaendesha gamba kwa remote control hivyo hivyo ikifika 2015 wako hoi ulimi nje wanapigwa tu bao
 
ccm ndio wana-promote udini kufunika madhaifu yao tena wanachosema jukwaani na wanachotenda tofauti kabisa! hapa ni siasa mambo ya dini twende jukwaa jingine
 
ccm ni janga...hakuna mwema ndan ya ccm!

Weweeeeeee,Thubutuuuuuuuuuuu!!!!huyo nani kakudanya??????????????????

Kwa maonin haya nimeamini chadema ni genge la matahaira. Hivi kweli mtu na akili zake atahangaika na kauli za slaa?? Alikwisha dai anataka kuuwawa halafu akadai eti kuna kontainer zima la kupigia kura kutoka afrika ya kusini liliingia nchini. Sasa hata mtoto wa chekechea hawezi kuamini eti ccm iagize silaha. Hizo silaha zina kaa wapi kama si utahaira. Huyu babu kweli kwa kauli ya nape anazeeka na anapoteza kumbukumbu. Juzi tu alijikanyaga huku anamshtaki nape kwa kusema chadema inafadhiliwa kwenye kikao ambacho pia anakili chama cha kikristo cha ujerumani kinawafadhili. Ni chakubanga tu huyu. Kama ingekuwa cuf imefadhiliwa na chama cha waislamu ungesikia kelele za maaskofu itv. Unaweza kuachana na kichaa watu waone tofauti lakini kutokuburuzwa mahakamani hakumaanishi kuwa unanga umehalalishwa

Siko mbali na wewe kwa sababu huyu jamaa nina wasiwasi na Thinking Capacity yake,na hasa kwenye Clebram,yawezekana ametumia zaidi Medula Oblongata!!!!!
 
Kwa maonin haya nimeamini chadema ni genge la matahaira. Hivi kweli mtu na akili zake atahangaika na kauli za slaa?? Alikwisha dai anataka kuuwawa halafu akadai eti kuna kontainer zima la kupigia kura kutoka afrika ya kusini liliingia nchini. Sasa hata mtoto wa chekechea hawezi kuamini eti ccm iagize silaha. Hizo silaha zina kaa wapi kama si utahaira. Huyu babu kweli kwa kauli ya nape anazeeka na anapoteza kumbukumbu. Juzi tu alijikanyaga huku anamshtaki nape kwa kusema chadema inafadhiliwa kwenye kikao ambacho pia anakili chama cha kikristo cha ujerumani kinawafadhili. Ni chakubanga tu huyu. Kama ingekuwa cuf imefadhiliwa na chama cha waislamu ungesikia kelele za maaskofu itv. Unaweza kuachana na kichaa watu waone tofauti lakini kutokuburuzwa mahakamani hakumaanishi kuwa unanga umehalalishwa

Eeee Mungu mbona kwetu machizi yanayoongea bila kusumbua akili zao kutafuta ukweli inaongezeka,

hakika kuna watu wanaishi na wengine wanaishiishi tu RIP
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom