CCM yajipanga kutumia mitandao kujiimarisha

CCM dont get it! Tatizo sio media za kuwasiliana na vijana. Tatizo ni ujumbe unaowasilisha kwa vijana. Watu wanataka maisha bora sio maneno bora.
 
Mchungaji siku chache sijazo una kazi. Ukicheki tuu emails zako utakuta hizi:

Edward Lowassa wants to be friends. Click here to add him as a friend.
Rostam Azizi has poked you. Follow this link to poke him back!
Andrew Chenge has tagged you in a photo. Click here to view the photo
Jakaya Kikwete has sent you a message. Click here to read and reply the message.
Yusuf makamba is following you on Twitter!

Teh! Teh! Hilarious!
 
Mchungaji siku chache sijazo una kazi. Ukicheki tuu emails zako utakuta hizi:

Edward Lowassa wants to be friends. Click here to add him as a friend.
Rostam Azizi has poked you. Follow this link to poke him back!
Andrew Chenge has tagged you in a photo. Click here to view the photo
Jakaya Kikwete has sent you a message. Click here to read and reply the message.
Yusuf makamba is following you on Twitter!

"The Following Seven users Say Thankx to EMT for this usefull post

Lowasa, Chenge, Makamba, Kikwete, Makamba, Mukama, Msekwa
 
Seems they lack sence of disconnection they have eyes but they can't see they have ears but they can't hear!:help:
 
Kumbe pamoja na makelele yote ya kujivua gamba Nape & Co hawajajua the proximate cause and ultimate cause ya kinachowasibu wananchi against chama chao! Haya na fb na twitter yao!
 
"The Following Seven users Say Thankx to EMT for this usefull post

Lowasa, Chenge, Makamba, Kikwete, Makamba, Mukama, Msekwa
Umemsahau Bilal mzee wa mikasi, nasubiri siku hawa wazee wajiingize kwenye mitandao waonje madongo kama hawajaanza kusema tuheshimiane kijana unajua mimi ni Mzee nilishawahi kuwa Spika Teh teh teh..
 
Tunawakaribisha sana ingawa wamechelewa. Ila wasije wakasema facebook na twitter ni za chadema kama wanavyolisingizia jamvi letu. Tutawapa ZA USONI hukohuko FB
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Wakileta maendeleo ya kweli na kupunguza umasikini wa watanzania badala ya full ufisadi hawahitaji facebook wala mitandao ya jamii.

Tatizo waliua njia za uchumi za kijamii nakujigawia nao wanaendesha kwakutofuata economi principals nyingi zinaitegemea serikali katika ku survive sasa ni hapo you eat what you dont produce. Midomo ya kutaka kula ikiwa mingi utafanyaje nawe umeweka wasanii huko ndani ya hizo projects?
 
Jamani hawa jamaa zangu wa CCM wanaweza wakapotea kabisa kwa kudhani kwamba mtandao ndio adui yao!! Hivi face book itawatatulia vijana wa Kitanzania matatizo yao ya kukosa ajira na hali mbaya ya maisha? Jamani CCM wanatakiwa waibane Serikali ili itutawale (sijui ituongoze) vizuri ili ahadi za CCM zitimizwe. Mimi najua ya kwamba mwaka 2005 vijana walikuwa wanaipenda sana CCM na wakaongezewa na ahadi za ajira na maisha bora kwa kila Mtanzania basi ikawa kila kijana ni CCM. Lakini sasa ajira hazikupatikana kama zilivyoahidiwa na maisha bora kwa kila mtanzania yakashindikana; hapo ndipo vijana walipogeuka na kutafuta mbadala. Mbadala wao hakuwa facebook wala twitter bali chama ambacho walidhani kitawasaidia kutatua matatizo yao; wakaitupa mkono CCM!! Hapo ndipo CCM walipojikwaa kwa hiyo waangalie hapo na wala siyo kuanza kufikiri kuwa mitandao ndio adui yao mkubwa!! Kutumia mtandao, sawa lakini siyo ndio suluhisho pekee!!
 
ccm hawana viongozi wanao tumia akili, nasisitiza tena kuwa ccm hawana viongozi wanaotumia akili
hoja ni hivi: ccm ni chama kilichoko madarakani hakipaswi kushindana na cdm kwa hoja wala mikutana wala chochote kinavyo hangaikia sasa
,viongozi wa ccm wanatakiwa wafanye vifuatavyo la sivyo ndio wameshaisha:---- ngoja niache hapo nisiwape technique waendelee kuangamiza taifa ngoja watumie akili zao(give the devil his due)
 
"The Following Seven users Say Thankx to EMT for this usefull post

Lowasa, Chenge, Makamba, Kikwete, Makamba, Mukama, Msekwa

Lowasa, Chenge, Makamba, Kikwete, Makamba, Mukama, Msekwa and others like this.
 
Matumizi ya mitandao si hoja, je wanalo la kuridhisha la kuelezea huko ambalo huenda zaidi ya miaka yao 50 madarakani halikupata kueleweka kwamba ni usanii mtupu????????????

Re-inventing the wheel?????????/
 
nadhani wangefikiria kuwaletea maendeleo wananchi kule vijijini na wenye kipato cha chini ingeleta maana zaidi na wala isingehitaji kutumia mitandao jamii ambayo inapatikana mijini tu
 
Kingunge naye kutafuta penpal huku Samueli wa Doms akisalimia kila mtu kwenye google chat; haaaaaaaaaaa hhhaaaa!!!!!!!!!!!! Ngoja keybords zao zianze kujaa machozi na malalamiko ya kutokuona screen vizuri.

..Mzee Msekwa ndani ya facebook.

..Mzee Mukama ndani ya twittter.
 
Naona washaanza manake hata haoa kwetu wako kibao, waache waendelee tu ila waelewe kuwa kati ya vijana mia, walio tayari kudanganywa ni wawili tu so wawe wamedhamiria kujivua kweli gamba!
 
Kwa kuwa wameamua kupambana na ufisadi, tupo pamoja ili mradi hawaleti usanii kwenye hiyo agenda
 
Back
Top Bottom