CCM yaishika Pabaya CHADEMA-RAI

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
WanaJF,
Gazeti la RAI la leo Alhamisi limekuja na utafiti wa mwisho kwa kile wanachodai wameufanya katika kata 17 tangu kuanza kwa kampeni katika jimbo la Arumeru Mashariki.Kwa mujibu wa utafiti huo gazeti hilo linadai kwamba CCM itaibuka na ushindi mkubwa wa asilimia 68% huku CHADEMA wakiambulia asilimia 28%.Gazeti hilo limetoa asilimia kadhaa vyama vitakavyopata katika kila kata.

Utafiti huo wa RAI unasema kwamba wana uhakika wa asilimia 100% kwamba matokeo ya uchaguzi hayatatofautiana sana na haya waliyoyatafiti kisayansi.Pia gazeti hilo limetua sababu kadhaa wanazodai ndizo zitachangia CCM kupata ushindi mkubwa huku CHADEMA ikianguka vibaya.

My take:
Mara nyingi sana tafiti kama hizi zimekuwa zikichangia watu wengi kukata tamaa ya kwenda kupiga kura.Pia CDM wanapaswa kuwa makini sana na watu wanaonunua shahada za kupigia kura kwani mara nyingi wamekuwa wakitumia tafiti kama hizi kufanya uhalifu huo.
 
Hata bila utafiti, suala la ushindi kwa CCM liko wazi sana. Hawa Chadema hawana wanachama hata 10,000 Arumeru halafu wanategemea kushinda uchaguzi? Hizi ni ndoto za Abunuwasi!
 
Duh siamini kwamba huo ndio mwisho wako wa kufikiria na kuchambua mambo!
Yaaani mpaka sasa bado unaamini ushindi wa Mtu unategemea na idadi ya Wanachama wa chama chake? Kura haziko hivyo hataz watu wa CCM wanaweza kumpigia kura
 
...hapo hakuna utafiti wowote ulifanywa zaidi ni kuandaa mazingira ya wizi wa kura(kuchakachua)...CDM kuweni makini,wizi wa kura umeanzia kwenye magezeti(RAI) msikubali ufike kwenye box la kura...
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
 
WanaJF,
Gazeti la RAI la leo Alhamisi limekuja na utafiti wa mwisho kwa kile wanachodai wameufanya katika kata 17 tangu kuanza kwa kampeni katika jimbo la Arumeru Mashariki.Kwa mujibu wa utafiti huo gazeti hilo linadai kwamba CCM itaibuka na ushindi mkubwa wa asilimia 68% huku CHADEMA wakiambulia asilimia 28%.Gazeti hilo limetoa asilimia kadhaa vyama vitakavyopata katika kila kata.
Utafiti huo wa RAI unasema kwamba wana uhakika wa asilimia 100% kwamba matokeo ya uchaguzi hayatatofautiana sana na haya waliyoyatafiti kisayansi.Pia gazeti hilo limetua sababu kadhaa wanazodai ndizo zitachangia CCM kupata ushindi mkubwa huku CHADEMA ikianguka vibaya.

My take:
Mara nyingi sana tafiti kama hizi zimekuwa zikichangia watu wengi kukata tamaa ya kwenda kupiga kura.Pia CDM wanapaswa kuwa makini sana na watu wanaonunua shahada za kupigia kura kwani mara nyingi wamekuwa wakitumia tafiti kama hizi kufanya uhalifu huo.

Hapo kwenye RED ndipo lengo hasa. Hizi zinaitwa propaganda na zimewasaidia sana SiSiEm
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

Tehe tehe tehe, kwahiyo Mgwandraaaa ndiyo Meru United halafu CCM Barcelona? Hii imetulia sana.
 
Huo utakuwa utafiti wa REDEP ya Dr. Benson Banna. Hata Bashe anafahamu Arumeru Mashariki sio Uzini hivyo lazima aanze kuji please na STATISTICS. Wanazuoni wanaserma hivi There are three LIES
1. LIES
2. DAMN LIES
3. STATISTICS

Pole sana CCM
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

Hapo kwenye RED sijakuelewa vizuri lakini pia kama unadhani ni swala la ratiba tu kinachowatoa "povu" huko arumeru ni nini si mtulie kusubiri siku ya uchaguzi??
 
WanaJF,
Gazeti la RAI la leo Alhamisi limekuja na utafiti wa mwisho kwa kile wanachodai wameufanya katika kata 17 tangu kuanza kwa kampeni katika jimbo la Arumeru Mashariki.Kwa mujibu wa utafiti huo gazeti hilo linadai kwamba CCM itaibuka na ushindi mkubwa wa asilimia 68% huku CHADEMA wakiambulia asilimia 28%.Gazeti hilo limetoa asilimia kadhaa vyama vitakavyopata katika kila kata.
Utafiti huo wa RAI unasema kwamba wana uhakika wa asilimia 100% kwamba matokeo ya uchaguzi hayatatofautiana sana na haya waliyoyatafiti kisayansi.Pia gazeti hilo limetua sababu kadhaa wanazodai ndizo zitachangia CCM kupata ushindi mkubwa huku CHADEMA ikianguka vibaya.

My take:
Mara nyingi sana tafiti kama hizi zimekuwa zikichangia watu wengi kukata tamaa ya kwenda kupiga kura.Pia CDM wanapaswa kuwa makini sana na watu wanaonunua shahada za kupigia kura kwani mara nyingi wamekuwa wakitumia tafiti kama hizi kufanya uhalifu huo.
Nina imani kwamba over 80% ya voters wa arumeru mashariki hawana access na hilo gazeti wala JF...

There is a need for CDM kubadili tatics na kufanya sensa ya voters continuously ili kujua wanasimama wapi.... I would CDM to win, ila naogopa sana kama ujumbe unafika kwenye ile mihadhara, kwani baadhi ya wahudhuriaji hutoka mikoa au wilaya za jirani
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama

Wewe jamaa hujambo kabisaaaa
Hizi mna kitu gani kipya kuwaaambia wameru mashariki wawachague na sio kuja na visababu vidogo hapa nashanga sisikii sera naona matusi personal attack vurugu
I hope one day nisimame na wewe jukwaa la siasa kwa sababu nina uhakika hutasimama tena na una uwezo usinge fanya siasa tena.
Hivi utaawambia nini wameru ambao huyu kijana baba yake alitawala hakuonyesha chochote ndo mtoto wake hataweza.
 
Rais Bush kuwa Rais wa Tanzania kuliko chadema kushinda arumeru. Hata bila utafifi hivi barcelona ikicheza na meru united mechi ya mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama
id yako yenyewe inatia kichefuchefu inaonyesha wazi unatumia Masaburi kufikiri,
 
Back
Top Bottom