CCM yaingiza majasusi Arumeru

bingwa wa kumtumaini bwana mheshimiwa lowasa anakuja huko kaeni chonjo!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

lowasa ni ktk mikakati 2,arusha mjini na m2 wake waliisoma nmbr.jukwaani Mtoto wa lema aitwae Allbless ndo saizi yake.
 
CDM na nyie c mpeleke wale makomandoo wa Igunga wazichape hatujaona kichapo cha mbwa mwizi tangu wakati uleee
 
Magamba ndio zao.wanang'oa bendera za cdm zimewakosea ni2? wamesahau igunga walishaipigiaga cdm kampeni kuwa ni chama wakristo sa2 arumeru imekula kwao.wameleta mpaka zamadamu (wasira)watu wanajaa kwenye mikutano yao kumshanga.nae sendeka mzee wa kihere2 da2 mwajuma jimbo lake lina matatizo kibao amesahau kushunghulikia kero za wanachi wake,anachujua ni kwenda kuomba mchanga wa kuchekecha tz one.simanjiro mmeliwa mlimwacha yosso millya gume2 atamaliza.
 
Taarifa ambazo zimefika hivi punde, CCM kupitia UVCCM ikiratibiwa na James Millya (Mwenyekiti-UVCCM, Mkoa Arusha) ameingiza majasusi ambao wameletwa kwa kazi kuu ya kuhakikisha vurugu, vipigo na fujo zinaibuliwa katika mikutano ya CHADEMA. Wanatumia gari aina ya Carina yenye rangi nyeusi. Inatumia nambari za chases!

Tayari, vijana hawa wanaratibu na kuanzisha vurugu ili uchaguzi ubadilike badala ya kuwa wa hoja bali mabavu ili wapate mwanya wa kutumia vyombo vya dola kuendelea kukandamiza upinzani.

Kwa amani na kuhakikisha haki na demokrasia inatendeka tufatilia kwa ukaribu vijana wa kukodiwa kufanya vurugu wanaoratibiwa na CCM hasa kupitia UVCCM.

naomba niseme toka ndani ya moyo wangu kiukweli ccm kama wameanza hivyo wasitulaumu vijana tunaounga mkono harakati za mabadiliko ujumbe huu si utani wala masihara na huyo milliya atapata haki yake tu.
 
kwa nini tunapenda kulalamika?mbona hatuwasikii ccm wakilalamikia mbinu zenu?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Mamluki wakodiwa kufanya fujo Arumeru

TUHUMA nzito zimetolewa dhidi ya moja ya vyama vya siasa vinavyoshiriki kampeni za ubunge wilayani Arumeru kwamba kimeanza kucheza rafu kwa kukodi mamluki kufanya fujo kwenye mikutano ya vyama vingine.

Aidha, inadaiwa kuwa, chama hicho kinatumia vijana kuiba shahada za wazazi wao ili kuwahujumu wasipige kura.

Tuhuma hizo nzito ambazo tayari zimewasilishwa kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na viongozi wa vyama vya siasa, zilitolewa jana.

Kwa mujibu wa tuhuma hizo, chama hicho kinakodi vijana ambao wanatambulika na wamekuwa wakifika katika mikutano ya kampeni za vyama vingine na kufanya vitendo vya kuzomea, kutoa ishara mbaya na hata kujibizana na viongozi wa vyama hivyo wanapokuwa wakielezea sera majukwaani.

"Unakuta mkutano una watu 5,000 wakisikiliza kwa makini sera za CCM, lakini tunapomaliza na kuondoka vijana watatu au watano wanajitenga pembeni na kufanya vitendo visivyo vya kistaarabu, jambo ambalo ni la hatari.

"Katika hili hatuna hata sababu ya kuwaeleza polisi tutalishughulikia wenyewe kwa njia tutakazoona zinafaa," alisema na Meneja wa Kampeni za CCM katika Jimbo la Arumeru Mashariki, Mwigulu Nchemba, ambaye pia ni Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM na kutaja kuwa vijana hao ni wa Chadema.

Nchemba alisema matukio ya dhahiri ni katika kijiji cha Songolo ambako akiwa anaendesha kikao cha mabalozi, ghafla waliingia vijana watatu wasiofahamika, wakijifanya mabalozi na wenyeji wakawashitukia na kuwakagua na simu zao kukutwa na mawasiliano ya ujumbe mfupi na mgombea wa Chadema, Joshua Nassari, akiwaagiza kuingia katika kikao hicho kuchunguza kilichokuwa kinafanyika.

"Tukio lingine lilitokea katika mkutano wa uzinduzi Jumatatu ambapo vijana wa kukodiwa walivamia mkutano wa CCM na kuweka bendera za Chadema na wengine kuja na gari la Chadema baada ya mkutano kumalizika, jambo ambalo ni la hatari maana mkutano ulikuwa na watu wengi wa CCM ambao wangeweza kufanya lolote," alisema.

Alisema pia CCM imegundua mbinu chafu ya Chadema ya kutumia vijana wake kuiba shahada za kupigia kura za wazazi wao, wakiwa mashambani, ili kuzificha na kuwarejeshea baada ya uchaguzi, lengo likiwa ni kupunguza kura za CCM.

"Wanaiba kadi za kupigia kura za wazazi wao. Kama inavyojulikana, wazee na akina mama ni wanachama wetu. Hili ni jambo baya sana la kuhujumu wanachama wetu wasipige kura. Tumewaeleza NEC na viongozi wengine wa vyama vya siasa, ili kukemea hili," alisema Nchemba.
 
Kama kadi zikipotea ondoeni shaka FORM NO 17 ZIJE KWA WINGI,haki bin haki hakuna kitakacho haribika...
 
Back
Top Bottom