CCM yaingiza majasusi Arumeru

Scolari Ndenga

JF-Expert Member
Aug 4, 2008
271
43
Taarifa ambazo zimefika hivi punde, CCM kupitia UVCCM ikiratibiwa na James Millya (Mwenyekiti-UVCCM, Mkoa Arusha) ameingiza majasusi ambao wameletwa kwa kazi kuu ya kuhakikisha vurugu, vipigo na fujo zinaibuliwa katika mikutano ya CHADEMA. Wanatumia gari aina ya Carina yenye rangi nyeusi. Inatumia nambari za chases!

Tayari, vijana hawa wanaratibu na kuanzisha vurugu ili uchaguzi ubadilike badala ya kuwa wa hoja bali mabavu ili wapate mwanya wa kutumia vyombo vya dola kuendelea kukandamiza upinzani.

Kwa amani na kuhakikisha haki na demokrasia inatendeka tufatilia kwa ukaribu vijana wa kukodiwa kufanya vurugu wanaoratibiwa na CCM hasa kupitia UVCCM.
 
si kuna police wengi huko waarifuni ..ikishindikana wapeni demu moja halafu mnawafumania na kupiga kiberiti hilo gari tumeshazoea police wanauwa kila siku sijasikia wameshitakiwa watasema wameuwawa na raia wenye hasira kail mchezo utakuwa umekwisha
 
huu ni mojawapo ya mkakati ingawa mleta thread kaupindisha kidogo.nia ya hilo kundi ni kutoa vipigo, kukamata na kutisha vijana ambao ndio wenye hamasa ya mabadiliko.
 
ahaa wameanzae? Naimani wamekuja na tindikali ya kutosha, petrol pamoja na viberiti vya kuwashia nyumba za watu moto, pamoja na karatasi na kalamu za kuandika barua kuwa wanaohusika ni chadema! KAENI MACHO
 
pole kwa kuumwa.vipi! umeshapata discharge?
 
Yaleyale ya banda la kuku na kuku wote kuungua na kubakiza kikaratasi kinachosema wahusika ni CDM na MUKAMA kuwa mtu wa kwanza kuwasili eneo la tukio badala na bila ya polisi...CCM bwana!
 
ahaa wameanzae? Naimani wamekuja na tindikali ya kutosha, petrol pamoja na viberiti vya kuwashia nyumba za watu moto, pamoja na karatasi na kalamu za kuandika barua kuwa wanaohusika ni chadema! KAENI MACHO

kweli kamanda, hawachelewi kusema kuwa wahusika ni chadema
 
CDM hao wenye carina wakija kwenye mkutano wenu chomeni moto wote hao watu wa5 hawawezi sumbua wanachadema hata wakiwa ni ma field marshal!!
 
ahaa wameanzae? Naimani wamekuja na tindikali ya kutosha, petrol pamoja na viberiti vya kuwashia nyumba za watu moto, pamoja na karatasi na kalamu za kuandika barua kuwa wanaohusika ni chadema! KAENI MACHO
Umenikumbusha Igunga walivyochoma kibanda cha kuku wakachomeka karatasi kwenye majivu imeandikwa sisi ni Chadema, akili za kuazima kabisa.
 
kwa nini tunapenda kulalamika?mbona hatuwasikii ccm wakilalamikia mbinu zenu?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
kwa nini tunapenda kulalamika?mbona hatuwasikii ccm wakilalamikia mbinu zenu?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

jingalao kweli,kwend facebook,hatuna mbinu zozote wewe,2nam2maini bwana.mmeishiwa huko hakuna misikiti.
 
kweli kamanda, hawachelewi kusema kuwa wahusika ni chadema
viongozi wa Chadema wanatakiwa watoe elimu kwa wananch wa Arumeru kwenye kila mkutano wanaofanya juu ya huu mchezo mchafu unaofanywaga na ccm,wafanye hivyo haraka iwezekanavyo ili kuwadhibiti ccm
 
viongozi wa Chadema wanatakiwa watoe elimu kwa wananch wa Arumeru kwenye kila mkutano wanaofanya juu ya huu mchezo mchafu unaofanywaga na ccm,wafanye hivyo haraka iwezekanavyo ili kuwadhibiti ccm
tatizo viongozi wa chadema muda wote wako kwenye keyboards wakati wenzao wanaumiza vichwa jinsi ya kushinda.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Back
Top Bottom