CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

Acha kuwadanganya watu wewe IDUDUMLWA....Kwanza ratio uliyoitoa haipo yaani ya jumla ya kula 19....CCM wana madiwani 6,cuf 2,cdm 8 jumla na mbunge.
 
Ningeshangaa sana kama CUF wangeiunga mkono CDM, Hiyo haiwezekani. Anyway hayo yalikuwa mazoezi tu ya 2015, hapo ndipo game lenyewe.
 
Hizi ni habari njema sana kwangu na natumia fursa hii kumpongeza naibu katibu Mkuu wa Chadema Zitto Kabwe kwa kazi nzuri anayoifanya kukimaarisha chama cha Chadema.

Hongera CCM kwa ushindi huu, na mjiandae kwa ushindi zaidi mpaka adui wenu atakapojitambuwa ni nini tatizo lake basi Lowasa atakuwa ndani ya mjengo wa Ikulu tayari.

Na hapo ndipo mtakapomsikia Rais wetu wakufikirika Zitto Kabwe anaachana na siasa na anakwenda kufanya PHD yake Ujerumani na kutangaza sasa anataka kufanya kazi alizosomea. wajinga ndio waliwao.
 
Pamoja na kusema uko eneo la tukio bado wewe ni dhaifu wa taarifa, toa mchanganuo ueleweke. Mf. Cuf 6. Mabwepande 8. Cdm 4. Jumla!18. Mea ametokea .cuf or mabwe or cdm.......idiot.
 
Acha kuwadanganya watu wewe IDUDUMLWA....Kwanza ratio uliyoitoa haipo yaani ya jumla ya kula 19....CCM wana madiwani 6,cuf 2,cdm 8 jumla na mbunge.

Unapo niletea mambo ya ratio kwangu unaniongezea machungu,ningependa mjadala huu uishie hapo,elewa na amini kuwa cdm tumeshindwa, period
 
Kama ninkweli tungoje ya halmashauri izo mbili ie Ilemela na Nyamagana

Mkuu baada ya Jiji la Mwanza kugawanywa katika halmashauri mbili, Nyamagana ndiyo imekuwa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, huku Ilemela ikiwa Halmashauri ya Manispaa ya...hivyo tunachosubiri ni uchaguzi mmoja, mwingine umeshafanyika. Zilikuwa mbili tu. si tatu kama ambavyo inaweza kuonekana kwenye sentensi zako Mkuu Njowepo. Usiogope. Tuko na watu.
 
Back
Top Bottom