CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

kwanza muelewe kuwa ule ni kama uchaguzi wa ndani. Ingekuwa anachaguliwa diwani leo magamba mngeongea hadithi nyingine. Kwanza tumejiepusha na lawama zisizo na msingi ambazo utekelezaji wa maendeleo ya mwanza ungekwamishwa na hao kina kabwe, na ccm wangepata pa kusemea mwanza. Sasa itakapofika wakati wa uchaguzi atahukumiwa meya wa ccm-mwanza
 
kitendo cha kuwafukuza madiwani wawili wa chama hicho ni technic iliyotumiwa na chadema kurudisha jiji hilo ktk mikono ya CCM, hili mliangalie vizuri na mliundie tume, na kitendo cha diwani mmoja kusaliti japo CHAMA CHA WANAINCHI CUF kutuunga mkono.
 
Mwanzo wa CDM kuwa imara.
1.Kauli za zitto
2.Kupoteza umeya mwanza
Mtake msitake tatizo si Mh zitto kutanganza kuwania urais 2015 laaa.Tatizo kuwa Mh ZITTO alikuwa hana cha kwa waambia watu walioudhulia mkutano huwo.Swali langu je walioandaa mkutano ndo lilikuwa lengo la kumwalika zitto pale.? Amini na usiamini Mh ZITTO anakwenda kama kinyonga.Kauli hizi zinaweza kuwa zinamsaidia au azimsaidiii huko twendako. Nanukuu msemo wa Marehemu BA,WA TAIFA JK.(Nyumba isipokuwa na msingi IMARA ikikumbwa na dhoruba itapata nyufa zinaweza kuwa kubwa au kidogo) Fikiri
 
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

tunashukuru uthibitisho wa CUF na CCM kuwa wana ndoa takatifu, lakini cuf nikujimaliza.Kimsingi wabunge wa chadema walipigia chama chao , je hizi tatu zilitoka wapi?ndo CUF? NI vyema imetambulika kuwa CUFF si wa si wapinzani bali ni mamluki na wahafidhina wa ccm
 
kitendo cha kuwafukuza madiwani wawili wa chama hicho ni technic iliyotumiwa na chadema kurudisha jiji hilo ktk mikono ya CCM, hili mliangalie vizuri na mliundie tume, na kitendo cha diwani mmoja kusaliti japo CHAMA CHA WANAINCHI CUF kutuunga mkono.
HIi munataka kutumia kama credit ya kisiasa, madiwani wa CUF ndio wamewapa ushindi CCM period labda ututhibitishie hapa ni kwa vipi madiwani wa CUF waliathirika na kufukuzwa kwa madiwani wawili wa chadema wakabadili mawazo kuwapigia CCM,chagulani kwenye uchaguzi alikuwepo na kura zilizowapa ushindi CCM ni mbili za CUF na yule mdada aliyetolewa Ilemela hakuna cha kujivunia zaidi ya umafia
 
Wanaweza kuwanunua madiwani kuwapigia kura lkn hawawezi kuwanunua wapiga kura(wananchi) wa mwanza.msidanganyike sisi tulio mwanza tunajua jinsi joto la siasa lilivyo.hukumu mtaiona 2015 huwa hatufanyi makosa.waulize ccm uchaguzi wa marudio ya udiwani kirumba,hawana hamu na wananchi wa mwanza.
 
Great Thinker @ work, hizi ndio comment zilizokwenda shule zinazokosekana siku hizi ndio maana nikaanza kushangaa kumbe vichwa bado vipo humu!!

Basi tusiruhusu akili ndogo ziongoze akili kubwa humu kwenye mijadala ambayo hata watoto zetu wakilog in JF wanaweza kufaidika na kitu, kutokana na comment yako hii iliyokwenda shule, nimeaprove Reputation Power kwako na nimekungea LIKE na natembelea Profile yako kusaign kwenye Guest wall yako.

Matola says thanks Kigarama for this useful post.
Wewe mchana kutwa ni kumsema Zitto, je na hilo unaonaje?
 
mkuu ni vema uchague rangi nzuri ili mchango wako usomwe na wengi..hii rangi uliyochagua inaumiza sana macho.!

utulivu,nidhamu,amani,uvumilivu na mshikamano ndio silaha iliyo bora katika kujiletea maendeleo yaliyo endelevu.hongereni mlioshinda na muendelee katika yale walioshindwa wenzenu ili hatimaye 2015 chama chenu kishike hatamu.
 
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mafisadi Ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom