CCM yafika pabaya: Dk. Kigwangala, Bashe watishiana bastola Nzega!

Dr. Kingwangala anapata Shida hizi sababu alimsapoti Dr. Ulimboka tu.. Pole sana Mkuu ndio Siasa Uchwara alizozikataa Rostam Fisadi Nyangumi
 
Last edited by a moderator:
Wamepiga mabomu ya mchoz mpaka watoto wa chekechea, sasa wameamua kugeukiana wao kwa wao kweli ufalme ukifitiniana hatasimama tena
 
Dr Kigwangala km kweli unamzuia Bashe basi nzega ni pagumu kwako, siasa hazitaki hivyo, Leo kweli ni mwisho kurejesha fomu lakini sio mwisho wa kugombea uongozi je/ akipata nafasi ingine na ww ukaukosa huo u-NEC kuna faida gani wakti wote mpo gari moja?
 
Pata picha hapo ingekuwa ni ccm vs chama pinzani si wangemmwagia tindi kali kabisa kama wenyewe kwa wenyewe tu wanatoleana bastola haya majama kwenye kutafuta uongozi wako radhi kufanya lolote lile baya
 
Taarifa au habari haijakaa sawa, hivi kweli umzuie mwenzio kurudisha form? Nina wasiwasi, chanzo chaweza kuwa kingine, ila kama kwa makonde kigwa ana msuli wa kutupa ngumi kweli? Hayo macho ya kungwi akitandikwa ngumi si itakua balaa?
Vita yao itamsaidia Nseleli, hawa wanatakiwa wote majina yakatwe
 
wauane upesi tunywe wa msibani,alaaa wanakaa wanatishiana nini hapa,nyambafu kbs!
 
Ukishazoea kula nyama ya mtu huwezi acha na ndio kinachowatokea sasa uwanja mpana tuwape nafasi....
 
Hahahah. Raha. Ehe risasi au bomu la machozi. Ccm bana.

Itakuwa ndio michezo yao,sema sasa hivi wameendelea zaidi maana wanaonyesha hadharani au umeyasahau ya Igunga mpaka mkutatoni wanazining'iniza hadharani bila hofu yeyote
 
hebu tuelezee vizuri tukio lilivyokuwa, yani tuwe kama tunaliona vile... hiyo bunduki alikuwa nayo wakati akichimba mkwara?
 
jamaa unajua amechanganyikiwa kwa kweli tatizo anawaza 2015 atafanya kazi gani manake ubunge hapati,na kule WAWA tutaifunga hyo NGO kwani mama josephene firt lady to be aweze kuwa na ungesengese kama huo.,mama mtu,prince ***** na baba mtu watakua ndani kudadadadadeki.
 
MH, Pasco Bastola nayo ni bunduki ndogo ya mkononi au kwa kingereza wanaita 'Hand Gun' kwa hiyo isikutatize kwani watu wengi tumezoea Gobore ndio Bunduki.
 
Back
Top Bottom